Kwa umeme huu huu wa mgao ama?Toyota wasiache hili gap liwapite watauza sana huku kwetu
Linakuja na powerbank, unafikiri wao wajinga?Kwa umeme huu huu wa mgao ama?
Kunako endelea ajira ndio kitakuwa kisanga.Naiona misoto na njaa kali uarabuni katika ijayo ya usoni
Vile visima vikikosa soko utakua ni muda wa kuliona rangi ya jasho la kiarabu linafananeje
Hili limezungumzwa sana hata magari yote yatumie umeme soko la mafuta halitaathirika, inakisiwa litaongezeka, Kuna demand kubwa sana ya MafutaNaiona misoto na njaa kali uarabuni katika ijayo ya usoni
Vile visima vikikosa soko utakua ni muda wa kuliona rangi ya jasho la kiarabu linafananeje
Bila umeme wa mgao, Gari likiisha charge inabidi usubiri tu, kwa sasa kama sijakosea ni around saa 1 kuchaji gari. Pengine kwa baadae muda ukashuka zaidi.Kwa umeme huu huu wa mgao ama?
Kabla ya February.[emoji848][emoji848][emoji848]