Hysteria ya uongo!

Hawa watu ni wanafki sana,yani ukiwauliza hbr za jk wanamwaga mapovu hatari.Nafikiri wameapa kupambana na jpm kwa mbinu zzt zile ikiwa na kusafisha utawala wa jk kwa matukio yaleyale yanayotokea utawala Huu.
Wamefilisika mikakati!
 
Ukisema watu wamebobea kwenye ukosoaji basi ujuwe kuna watu wamebobea kusifia hata mambo ya hovyo hapa duniani.
Wote wanafiki tu ...simama na ukweli tu bila kujali ni CCM au upinzani ...
 
Mie nilichongundua Nyani Ngabu amejua akiandika ku provoke hisia za watu anapata michango mingi zaidi na umaarufu zaidi, huu utakuwa mkakati maalum wakuzidi kujipa jina ni bora kupuuza tu maana anajua kundi kubwa humu litachangia kinyume na hoja yoyote inayokwenda kinyume na rais
 
JPM kawashika pabaya wanakosa Sera sasa wamebaki kutapatapa Kama wafa maji. Hadi miaka kumi iishe JPM atakua kawanyoosha vibaya sana chamani anaweza kubaki mmiliki tu Mbowe
 
Kwamba ulichoandika ni kijeruman au kilugha chenu kias nishindwe kuelewa?Swali nililokuuliza,sio wewe tu,ni Bavicha wote hawawezi kulijibu na hapo dhana ya unafki inapojitokeza.
kukujibu ni kupoteza muda wangu
 
Nyani ngabu tatizo lako ni moja tu unafkiri akili yako ni bora kuliko wengine usiwe kama mwanamke uko too emotional kwa hili jambo brother

See the big picture nini kinatengenezwa na hizo media zinazo mchafua hii dunia ipo kwenye information era sio capitalism wala socialism
Afterall the enemy of your enemy is yourfriend
 
Mtazamo unafki wa wapinzani uko wapi?! Kama swala ni Kikwete angalau aliwaruhusu wapinzani kufanya siasa na kufungua matawi nchi nzima. Leo swala hili kwa Maghufuli ni dhambi itakayo kupereka jela kama si kuzimu. Kwanini hili lisikemewe?! Kwamba akikemewa ametukanwa!! Aliomba kutingoza tena kinyenyekevu kabisa na si kutukandamiza kibabe.


Ni kweli mauaji na utekaji vimefanyika awamu zilizotangulia. Lakini tusiendekeze unyama huu kwa dunia ya watu waliostaarabika. Hizi zilikuwa mbinu za kikoloni kudhibiti watu wenye uelewa na wasiokubaliana nao!!! Leo miaka 60 baada ya uhuru hatutakiwi kufikiria mbinu hizo za wajerumani na waarabu.
 
Boss @ Kama nimekuelewa, Unakubaliana na Unaunga Mkono matukio hayo uliyosema !!!! ??? Maana sijakusoma mahali ukiyakemea na kuyalaani matukio hayo kwa Awamu zote za Uongozi wa Urais.


 
Huko ccm wanakupa nini mkuu? Sio kwa kuwatetea huku! Hebu vuteni ule uzi wake aliodai Magufuli ni rais wa hovyo asiye na sifa ya kuwa kiongozi wa nchi, leo unamwita Ngosha mashine. Kwanza Magufuli ni msukuma? Nahisi utambulisho wako halisi utakuwa ulugundulika na adhabu uliyopewa ni kuisafisha seeikali na rais kwa maandishi yako ya mwanzo. Hii u-turn si ya kawaida kwa mwanaume aliyekamilika. Tumezoea kuona haya mambo kwa kina dada. Duh, not for this lack of consistency dude!
 
siwezi kuzungumzia mambo ya kimarehehemu,maendeleo yanayochangamana na damu hayanaga heri.
 

Nami nimegundua wewe huipenda sana ccm; ila una mahaba makubwa na ngosha, mr frustration.
 
Ingawa sijasoma comment zote za wadau... nakumbuka Said Kubenea alimwagiwa tindikali, na akatibiwa na serikali ya JK... kwenye inshu ya Dr Ulimboka, Ahmed Msangi alitaka kupigwa pale muhimbili akatolewa nduki bahada ya kutajwa na Ulimboka kuwa ni mmojawapo wa waliomt..... nyara (Ahmed Msangi RPC Mwanza kwa wasiofahamu)

Kipindi cha JK Nyerere alisumbuliwa sana na kina Oscar Kambona n.k wakaenda kuishi uhamishoni......
nini iwe kwa kina naniliuuu kumtisha Magu.... mtu kapata hawala kaenda kukaa huko eti nae kakimbia nchi? ovyooooo
 
Ana
Boss @ Kama nimek98uelewa, Unakubaliana na Unaunga Mkono matukio hayo uliyosema !!!! ??? Maana sijakusoma mahali ukiyakemea na kuyalaani matukio hayo kwa Awamu zote za Uongozi wa Urais.
Ana ajenda ya siri huyo.
Great Thinkers wameshamtambua ni Kimambinista huyo.
Tafuta post zake za miaka 5 iliyopita ndo utagundua unafiki wa Nyani Ngabu
 
Boss @ Kama nimekuelewa, Unakubaliana na Unaunga Mkono matukio hayo uliyosema !!!! ??? Maana sijakusoma mahali ukiyakemea na kuyalaani matukio hayo kwa Awamu zote za Uongozi wa Urais.

Hujawahi kuona popote humu nikiyalaani hayo matendo maovu??

Labda hujui kusoma na kuelewa!!

Hilo ndo hitimisho pekee ninaloweza kulifikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…