hypothesis "Siyo lazima niposti"

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Sasa nakiri ni ukweli usiopingika kuwa siyo lazima mtu uposti kitu kwenye hili jukwaa la jokes and gossips. Mfano mzuri angalia hii thread yangu, haina mantiki yeyote na wala haiendani na hili jukwaa but still nimeiposti.

Ila cha kushangaza zaidi ni wewe ambaye umeng'ang'ania tu kuisoma hii thread hadi mwisho ili hali tangu mwanzo umeiona haina mwelekeo wowote ule kwenye hili jukwaa, na kuna uwezekano mkubwa ukakomenti kusema siyo lazima na mimi niposti wakati unajua hicho ndo kichwa cha habari cha hii thread.

Anyway kwa kuwa umekuwa na mimi kwa kuisoma hii thread tangu neno la kwanza hadi hili la mwisho, hii ina-decline hypothesis yangu ya kwanza kuwa "siyo lazima niposti" na kufanya ukweli uwe "I CAN POST ANYTHING IN THIS FORUM OF JOKES/GOSSIPS
 
Back
Top Bottom