The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,381
- 1,760
Mkuu, mimi nimeanza kufuga wa kienyeji wapo 100.Ila nataka nifuge kwa kiasi kikubwa hawa ambao ni crossed breed. Je,ni aina gani nzuri hasa kwa kuhimili magonjwa, uzito na ukuaji wa haraka,nimepitia maada mbalimbali karibu aina ninazozifahamu zote zina changamoto ya magonjwa hasa hao weusi, sasso ila kroiller ndo sijaona ikizungumziwa.Je,vipi soko lao lipo kama la wa kienyeji au nalo linasumbua na pia wanaweza kupewa pumba ya kawaida tu wakakua kwa hatua za mwanzo kabla sijahamia kwenye hydroponic fodder.
Hiyo Hydroponics ndiyo madude gani.?!!!Wakuu nahitaji mjuzi wa kutengeneza system ya hydroponics. Kwa malipo.
Ni contact private box
usiwe na hofu wataalamu tupo wa hyrdoponicsWakuu nahitaji mjuzi wa kutengeneza system ya hydroponics. Kwa malipo.
Ni contact private box
naam mkuu watalamu tupo wa hii kitu,hydoponics kwa taafsiri ya kiingereza " ability to control all necessary plant variables kama vile mwanga,nutrient na vinginevyo ,swala ni mtaji,ila sio mkubwa sana inategemea sana na zao unalotaka kulikuza.mfano chainizi ukiotesha mbegu zake ndani ya hydoponics system huchua siku tatu kufika urefu wa cm 4 na nyanya zinakubali vizuri sana na mengineo jamii ya haya.yafuatayo ni mahitaji rahisi na muhimuWakuu nahitaji mjuzi wa kutengeneza system ya hydroponics. Kwa malipo.
Ni contact private box
Upo serious mkuu? Mimi naona umekusudia kufanya mzaha kidogo, na umenifurahisha kwelikweli!Hiyo Hydroponics ndiyo madude gani.?!!!
Fafanua kidogo maana nna broo wangu ni fundi seremala mzuri tu
Anachonga mpaka yale makabati ya Ikulu,
Hivyo sidhani kama atashindwa kukuchongea hiyo "Hydroponics"
Maana mbao zipo za kutosha stoo.
swali zuri ngoja tusubirie majibuNawashukuru sana wakuu kwa taaluma hii adhimu.
Ila naomba niulize swali moja lililonifanya nikapekua comments zote kulitafutia majibu...
Je, ukitaka kufuga kuku mathalani wa kienyeji, kwa kutumia teknolojia maridhawa ya haidroponiki, inatosha kuwapa hiyo fodder peke yake bila vyakula vingine?
Au fodder ni nyongeza tu kama zilivyo nyasi nyingine anazokula kuku mfugwa?
Kiungwan nitangulize shukrani...
Wa mkoani, hii kitu yale maji unayomwagilia yanatuamishwa kwenye hyo trei au yanachuuzika na kupotea?Kwa wale mliopo sumbawanga mni_pm niwafundishe.... Naijua vizuri.. Karibuni.
Nadhani mtoa mada alishalijibu hili.Nawashukuru sana wakuu kwa taaluma hii adhimu.
Ila naomba niulize swali moja lililonifanya nikapekua comments zote kulitafutia majibu...
Je, ukitaka kufuga kuku mathalani wa kienyeji, kwa kutumia teknolojia maridhawa ya haidroponiki, inatosha kuwapa hiyo fodder peke yake bila vyakula vingine?
Au fodder ni nyongeza tu kama zilivyo nyasi nyingine anazokula kuku mfugwa?
Kiungwan nitangulize shukrani...
Nimekuelewa.... Tray ya kuoteshea hiyo fodder huwa inakua na matundu kadhaa kwa ajili ya kutolea maji kiasi.... Kwa hiyo maji kiasi yananyonywa na hiyo fodder na mengine yanatoka kupitia hayo matundu.Wa mkoani, hii kitu yale maji unayomwagilia yanatuamishwa kwenye hyo trei au yanachuuzika na kupotea?
sijui kama nimeeleweka!!
Ok, asante.Nimekuelewa.... Tray ya kuoteshea hiyo fodder huwa inakua na matundu kadhaa kwa ajili ya kutolea maji kiasi.... Kwa hiyo maji kiasi yananyonywa na hiyo fodder na mengine yanatoka kupitia hayo matundu.
Hayapotezi... Pia waweza kuyakinga kwa chini then ukayarudia kunyeshea hayo hayo.... Jaribu kuperuzi YouTube utaona jinsi wanavyofanya.. Karibu.Ok, asante.
Haya yanayotoka hayapotezi sehemu fulani ya nutrients pamoja na booster?