Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,189
- 8,217
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu
Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi naomba mtujuze
Pia kuna hizi gari zinzotumia gas hebu pia tujuzeni
Ahsante