Hvi wanaume wanaakili gani???

Huyo dada anastahili pongezi kwa kuendelea kujilinda na kuwalinda wanaume,mwanaume anapotaka kitu toka kwa mwanamke huwa hajali madhara yatakayomkuta mpaka akipate ndio maana unadhani hawana akili
 
Sema best!! Wanaume kwa nini wana akili za hivi??

Akili zetu si za ajabu ila ni hivyo tulivyo, inatokea kupenda hata kama angekwambia vipi. Ila sasa mbaya ni pale usipotumia kinga dhidi ya hayo anayosema huyu binti.
mapenzi hayana macho. wanaume tunapenda, au kutamani kwa nguvu sana na kwa haraka
 
hiki kikombe hakuna wakukiruka...si mwanaume si mwanamke kinachotakiwa ni uadilifu tu...hebu fikiria kwa mfano we ni kimada wa mwanaume ambaye analelewa na mama aliye na mume mpenda dogo dogo na kila dogo dogo ana mwanaume wake of whom kaahidi mabinti wawili watatu kuwaoa ambao nao kwa kutojiamini wana wavulana wao wa pre ndoa ambao nao hawaishi kufata watoto wa shule!...on other hand wewe (kimada) ni mke wa mtu asiye mwaminifu ambaye muda wote anaomba upate mtoko ili nae achore vector in opposite direction...kwa kweli kazi ipo,kuna haja ya kumrudia Mungu ili walau ufike mbinguni nusu saa kabla Izraili hajajua umekufa!
 
Hii ya kuuliza kama wanaume wana akili naona ni matusi... tuna cases za akina Liyumba, Mziray (RIP) na wengine wengi wanaofahamika... hatukugeneralize wanawake wote

I think Sinai unahitaji kuomba radhi... ni bora hata ungesema "wanaume wengine" kuliko kutupiga blanket wanaume wote

Thank you!

 
Labda nikwambie samahani wewe maana naona ndio umejiunga leo JF usijali lakini you'll get time to know it.


Tatizo siyo kuwa na kamba mguu, na si mgeni wa JF, ID tu imebadilika. Ukitaka kujifunza jambo, kubali kukosolewa. Kila mtu ana udhaifu wake.
 
Wanaume bwana mkiambiwa ukweli mnakuja juu mbona mnatunanga kisa siku humu ndani :twitch::twitch::twitch:
 
Tatizo lenu wanaume wakiwatenda huko mtaani basi mkija hapa JF mnafikiri na wanaume wengine wanafanana hivyo hivyo
 
Tatizo lenu wanaume wakiwatenda huko mtaani basi mkija hapa JF mnafikiri na wanaume wengine wanafanana hivyo hivyo

l.o.l....kaka watu wanabahati mbaya bana,unakuta the past 20 wote walikuwa washashi!....wanafikiri na wote jf ni wakurya!...l.o.l
 
l.o.l....kaka watu wanabahati mbaya bana,unakuta the past 20 wote walikuwa washashi!....wanafikiri na wote jf ni wakurya!...l.o.l
Na ndio maana nimemwambia aseme baadhi ya wanaume na sio kupiga palanja kuwa wanaume wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom