Hvi kuna tatizo kuoa msichana aliyekuzidi elimu?

hapana hakuna tatzo kwenye suala hilo ila inategemea mnaheshimiana vipi na mnapendana vipi. Ninaposema mnaheshmiana vipi ninamaana toka mpo kwenye uchumba hamkuwah hata siku moja kufashfiana juu ya elimu. Na ninaposema mnapendana vipi ninamaana hata kama mwanamke anaelimu ya juu na pia anamshahara mkubwa kuliko wewe lakn kama unampenda na yeye anakupenda kamwe hutokuja kuona tofaut katka ndoa yako na wewe pia usipende kuonyesha udhaifu wako wote kwake
 
Kikubwa ni confidence yako; ambayo naitilia mashaka mpaka sasa. Kama hujiamini usimuoe kwani maisha yenu yatakuwa karaha.

Unajua kutofautiana ni lazima; kama hujiamini utakuwa unahisi anakudharau kwa kuwa.........
 
hakikisha hasomi masters kabla yako, hivyo ili ku-balance ww anza kusoma masters, ukishamaliza baada ya mwaka hv ndipo umruhusu naye asome masters, wakati anasoma masters ww anza PhD
 
mimi nna mchumba ambaye kanizidi elimu yeye ana shahada na mimi nna stashahada,wana jf naomba ushuri wenu je?kuna tatizo nikimuoa kwa kuwa amenizidi elimu?


Hakuna tatizo, kila la heri katika maandalizi ya ndoa yenu.

 
mimi nna mchumba ambaye kanizidi elimu yeye ana shahada na mimi nna stashahada,wana jf naomba ushuri wenu je?kuna tatizo nikimuoa kwa kuwa amenizidi elimu?

Embu tumia akili kabla hujaweka post hapa jamvini maana ni home of great thinker na kama ndo ivyo hili swali uliloweka hapa umediscolified kuwa htmu jamvini na nina wasiwasi na stashahada yako
 
Kikwakwa cha niki? Cha kuhuni mponga? Na mwe mukeghe zwe mutenda kunyoghopa? Eeeh? Muntolele tu.
 
Usitake kutawaliwa na inferiority complex my brother,ukiiruhusu tu hiyo umepotea...mnaweza mkaoana bila matatizo. Kinacho matter ni uzito wa penzi lenu baaasi! Hakuna kingine...

elim na mapenzi ni vitu viwili tofauti, kwani unaoa elim yake au yeye mwenyewe kama binadam,:lol::lol::lol:
 
Best elim ninini? Wangap 2mefika chuo na hatujakombolewa? Go for true love dat exist btn u, and nt the so called "elim" ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom