HUZUNI KUU KYELA: Bye Bye Harrison Mwakyembe

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Wakuu. Hali ni mbaya kupita maelezo juu ya halo ya kisiasa ya Ndugu Mwakyembe jimboni Kyela. Anazomewa kila sehemu. Si vijana si akina so wazee wote wanamzoea kila apitapo. Wazee walimshauri asogombee na wakamuleza ukweli kuwa hali ni mbaya mitaani juu yake lakini akawaomba kuwa "niacheni nijaribu". Hali hiyo imepelekea Mwakyembe kukimbia jimbo na kujifcha Mbeya mjini ambapo Sugu anabebwa kama mfalme. Watu wametabiri aibu ya Marne juu ya mwakyembe... Hakanyagi tena jimboni kuanzia juzi na mpaka viongoz wa CCM wilaya wanamsusia kwenye sapoti ya kampeni. Bye bye mwakyembe
 
Sidhani kama hii ni kweli!
 
Acha aondolewe tumemchoka kwa ulaghai na uongo wake, aondolewe Tu hakuna namna yeyote.
 
tatizo la uongo wake ni kufikia kujidanganya hata yeye mwenyewe ... amewaongopea watu ambao wanamjua mwanzo mwisho na sasa aibu imemshika
 
huyo mwakyembe unaemsema ndo yule aliepatankura 15000,huyo ndo mtu wa kushindwa ubunge .hvi unafikiri bado kuna watu wa kumtoa mwakyembe kyela sisi ndo wapiga kura subiri uone ,endelea kupoteza muda na majungu yako
 
Aliyekutuma nani? Kupitia runinga ni wazee hao hao unaowataja waliomlazimisha agombee. yeye si alikuwa agombee kawe? Acha kuleta uongo humu ktkt jamvi. Usirudie tena.
 
Mwakyembe jembe wewe, tatizo ni kwamba mitandao imewapa Uhuru Wa kusema mtakavyo ila kuanzia sept 1, kesho kutwa tutaheshimiana hapa mjini!
sasa kuchokwa kwa mwakyembe kyela kunahusiana nini na septemba 1 ? mwakyembe hatakiwi kyela january hadi desemba .
 
majungu katika ubora wake.

Wakuu. Hali ni mbaya kupita maelezo juu ya halo ya kisiasa ya Ndugu Mwakyembe jimboni Kyela. Anazomewa kila sehemu. Si vijana si akina so wazee wote wanamzoea kila apitapo. Wazee walimshauri asogombee na wakamuleza ukweli kuwa hali ni mbaya mitaani juu yake lakini akawaomba kuwa "niacheni nijaribu". Hali hiyo imepelekea Mwakyembe kukimbia jimbo na kujifcha Mbeya mjini ambapo Sugu anabebwa kama mfalme. Watu wametabiri aibu ya Marne juu ya mwakyembe... Hakanyagi tena jimboni kuanzia juzi na mpaka viongoz wa CCM wilaya wanamsusia kwenye sapoti ya kampeni. Bye bye mwakyembe
 
Dhambi aliyofanya kushiriki kumchafua asie na hatia lazime imtafune kwishney
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom