unazunguka neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!tutamchangia huyohuyo uliyemtaja.
kumbe huwa anatembea na mikono basi blue g ni mtundu sanaYes we ni mwoga,we ni mwoga wa kutembea kwa mguu hahaha
Mambo ya kuwinda hayo. AustraliaView attachment 87635
umeshaanza sasa maukorofi yako.kumbe huwa anatembea na mikono basi blue g ni mtundu sana
na hapa tu ndo unaponiuaga,unadeka vizuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri.sasa we taamu unataka mi niseme nini banah aaahhhh?
hebu lia nizidi kukutathiminiAfu we taamu mi staki banah mbona unakuwa hivyo lakini?nitalia mimi oohoooo.
hebu lia nizidi kukutathimini
Ukimkuta mezani wala huwezi kuamini! Seriously analika
![]()
mbona achozi yanachuruzika asante kwa kulia kwa madoidoSilii sasa ndo nikuweze maanake wewe!
Wazee wa HARAM utawajua tu.Nyama yake hata ya kuku imesingiziwa.
mbona achozi yanachuruzika asante kwa kulia kwa madoido
Wapi ilipoandikwa "Msile nyama ya mamba"?Wazee wa HARAM utawajua tu.