Huyu wifi yangu simuelewi?

Huyu wifi yangu simuelewi?

Ana 36yrs ila hana mtoto mwezi uliopita alishika mimba, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa tumbo linamuuma jioni akaona hedhi.

Akawa na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi akaenda kwa dr na ameambiwa arudi after 7 days.

Muda huu hayupo nyumbani yupo nyumba ya pili kuwapa company makaka wa rafiki zake, is this fair kaka hayupo kaaga anaenda kukutana na wenzake atachelewa kurudi kutakuwa na mipira ya Ulaya.
Nyau mkubwa wewe! hicho ndo kilikupeleka kwa kaka yako? Nyie ndo mnavunja ndoa za watu.
 
Wewe hapo unawataka hao wakaka.

Ndo maana unamuwazia vibaya mwenzio.

By the way, inahusianaje na kukosa mtoto at 36?
 
Ana 36yrs ila hana mtoto mwezi uliopita alishika mimba, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa tumbo linamuuma jioni akaona hedhi.

Akawa na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi akaenda kwa dr na ameambiwa arudi after 7 days.

Muda huu hayupo nyumbani yupo nyumba ya pili kuwapa company makaka wa rafiki zake, is this fair kaka hayupo kaaga anaenda kukutana na wenzake atachelewa kurudi kutakuwa na mipira ya Ulaya.
Yale yale ndo za siku hizi....hii imedumu siku au miaka mingapi...maana kuna thread matata imetreand
 
ila sasa hufau kukaa kwa kaka naona kama una elemnts za kuchangia kuchonganisha..
 
ingekua group la whttsp uyu dada ange left maana sio kwa majibu aya
 
Hapa ningependa zaidi wanawake wenzako wakushauri!!

maana kama umeenda kwa kaka yako unakula bure, kujamba, kuoga bure hulipii chochote bado unawashwa washwa umeshindwa kutambua kilichokupeleka!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom