Huyu unaweza kumuitaje??

Anaihusudu sana Africa, alizaliwa majuu kwa bahati mbaya.
 
Inaelekea hapo alikua amemaliza kuwekwa hiyo na wala bado hajatoka maabara, maana mgongo umevilia damu
 
Anaihusudu sana Africa, alizaliwa majuu kwa bahati mbaya.

Wengi wakija huku hawatamani kurudi kwao kwakuwa Afrika kuna utu heshima na upendo wa kweli
 
Reactions: BAK
Wengine huwa matajiri sana ukilinganisha na kwao. Wadanish wake kwa waume walikuwa hawataki kurudi kwao kwa maisha wanayoishi Bongo walikuwa wanalia kama watoto wanapomaliza mikataba yao na kurudi kwao. Tulikuwa tunashangaa sana kumbe kule kwao hawana uwezo wa kuown gari wakija hapa nchini wanalipwa mishahara mikubwa sana inayowawezesha kuishi kama matajiri na kuweza na kuwa na gari la Baba na la Mama na ngawira chungu nzima lakini walikuwa wanaruhusiwa kurenew mikataba yao ya miaka miwili miwili mara moja tu, walijaribu sana kuongea na ubalozi wao ili wabadilishe sheria hiyo lakini Serikali yao ikakataa.

Wengi wakija huku hawatamani kurudi kwao kwakuwa Afrika kuna utu heshima na upendo wa kweli
 
Huyu anacho kinamfanya apende africa wala si mali......wasichana watalii wengi wakija tz wanagoma kurudi wanawang'ang'ania wamasai wa watu lol.......
 
Huyu anacho kinamfanya apende africa wala si mali......wasichana watalii wengi wakija tz wanagoma kurudi wanawang'ang'ania wamasai wa watu lol.......

Hahahahaaaa na wafuga rasta
 
BAK Afrika ni paradiso ya wengi
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Huyu anacho kinamfanya apende africa wala si mali......wasichana watalii wengi wakija tz wanagoma kurudi wanawang'ang'ania wamasai wa watu lol.......

kwanin wanawang'ang'ania wamasai?? any motive behind??
 
Huo msemo ulioandikwa hutumiwa sana na wanawake weupe wa marekani wakisifia vidume vya kiafrika.Wanawake hao huitwa sluts.

heeeeeeeeeeeeeeeee???????? nilikuwa sijui, kwanin walikuwa wanautumia??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…