Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Tapeli wa kiutu uzima na hekimaMwakasege nae tapeli tu ila ni mtu mzima utapeli wake una hekima kubwa
HahaTapeli wa kiutu uzima na hekima
Tapeli wa kiutu uzima na hekima
Na ukitaka kujua wajinga hawajawahi kuisha toka dunia iumbwe ndio kama hivo, kuna waumini huwambii lolote kuhusu mchungaji wao.Huyu nimemjua juzi baada ya kumsikia mke wake akiongelea mume kujaza mtungi wa gas kwa kuupuliza
Kimsingi dini imejaa drama, majigambo,siasa na sifa za kijinga kama hizo za kumiliki magari
Yapo ya kujifunza kwa waislamu
View: https://youtu.be/04GKMWEwe98?si=mjM3ECJINix0UVuy kabisa madam nakula pombe na hii ngoma napaa kabisa yani😇😇😇
Hakuna ya kujifunza Hata hukoHuyu nimemjua juzi baada ya kumsikia mke wake akiongelea mume kujaza mtungi wa gas kwa kuupuliza
Kimsingi dini imejaa drama, majigambo,siasa na sifa za kijinga kama hizo za kumiliki magari
Yapo ya kujifunza kwa waislamu
Shida ya imani ipo hapoNa ukitaka kujua wajinga hawajawahi kuisha toka dunia iumbwe ndio kama hivo, kuna waumini huwambii lolote kuhusu mchungaji wao.
Halafu unakuta natuma ngoma humu , ila mtu anaisikiliza kwa music system ya laki 2 halafu anasema ngoma mbaya🤣🤣🤣🤣Siku moja unipe location tupae wote 😁
Kajamaa kanawapiga ndezi wake kilaini sana.Shida ya imani ipo hapo
Sijawahi kumfuatilia lakini lazima wapo huwaambii kitu kuhusu hako kajamaa
Hakuna ya kujifunza Hata huko
Halafu unakuta natuma ngoma humu , ila mtu anaisikiliza kwa music system ya laki 2 halafu anasema ngoma mbaya🤣🤣🤣🤣
Wajinga wataishaje ilhali wanawamenta watoto wao,ndugu zao na wengine wengi?Na ukitaka kujua wajinga hawajawahi kuisha toka dunia iumbwe ndio kama hivo, kuna waumini huwambii lolote kuhusu mchungaji wao.
Ngoma kali sna inanimate vibe la kulewa mbayaNairobi hata ukiisikiliza kwa simu ya button lazima upae
Amekuwa exposed, too bad hakuwa na contigency plan for such thingHello
Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.
Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.
Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake
Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.
Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.
Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.
Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.
Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.
Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.
Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.
Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.
Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.
Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake
Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.