Huyu sio Wetu!

Huyu sio Wetu!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,901
Reaction score
18,885
PONDA.jpg

Mimi nimtaalamu wa mambo ya Race na huyu jamaa kila nikimuangalia haonyeshi kama ni Mtanzania, anafanana sana na watu wa maeneo ya Afrika ya Magharibi mpaka Afrika ya kati! Watanzania huwa hatuna Mijuso mipana kama huyo jamaa, ukitaka kuthibitisha hilo siku ukimwona Mtu anaUso au sura Pana muulize vizuri, asili yake siyo kwetu TZ!
 
full Mtanzania

View attachment 90616

Maelezo yako hayana msingi wowote...
huyu fullMTanzania.................................................................................................................!!
Mimi nimtaalamu wa mambo ya Race na huyu jamaa kila nikimuangalia haonyeshi kama ni Mtanzania, anafanana sana na watu wa maeneo ya Afrika ya Magharibi mpaka Afrika ya kati! Watanzania huwa hatuna Mijuso mipana kama huyo jamaa, ukitaka kuthibitisha hilo siku ukimwona Mtu anaUso au sura Pana muulize vizuri, asili yake siyo kwetu TZ!
 
Nshalijua lengo lako! Ila yawezekana umemfananisha na yule aliye act kama raisi wa naijeria kwenye ile movie ya Tears of The Sun.!
 
Sijui wenye akili fupi toka visiwani wanao mfagilia
 
Jamaa m'burundi pure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
View attachment 90616

Mimi nimtaalamu wa mambo ya Race na huyu jamaa kila nikimuangalia haonyeshi kama ni Mtanzania, anafanana sana na watu wa maeneo ya Afrika ya Magharibi mpaka Afrika ya kati! Watanzania huwa hatuna Mijuso mipana kama huyo jamaa, ukitaka kuthibitisha hilo siku ukimwona Mtu anaUso au sura Pana muulize vizuri, asili yake siyo kwetu TZ!
Ponda sio Mtz, ni mkongo, ndugu zake wengi wako congo na Burundi. kuna wengi wamesema kuwa ni mrundi, lakini ukweli ni kwamba, huyu asili yake ni kongo na ndiko alikokuwa amekimbilia baada ya vurugu alizosababisha mwembechai kipindi kile, kwani angebaki hapa, mkapa asingemwacha. huyu sio mtz, uliza mtu yeyote wa usalama atakwambia. tatizo ni kwamba, waislam wengi wamempenda na wanamsapoti, isingekuwa hiyo, angeshakamatwa na kupandishwa ndege, akama sio lory hadi kongo au burundi.
 
Lirundi hilo,si unaliona lipua lake...
 
japo kweli uso mpana kama wa Marcel Desally au Madillu lakini Afrika ni moja bwana, labda alikimbia ukame miaka mingi na kujikuta maziwa makuu kabla wakoloni hawajaweka beacons na kuziita mipaka. Lakini lisemwalo...
 
watu kama hawa wakuja halafu wanatuondolea amani wanafaa kudungwa sindano ya sumu au kupewa chakula chenye sumu halafu wana-rest in peace taraatibu kiasi cha watu kujua amakufa natural death kumbe amefanyiziwa! enzi za Nyerere asingekuwa hai huyu. lakini kwa enzi hizi za kung'oana kucha na meno hamna lolote linafanyika kwa watu kama hawa!
 
Sheikhe Ponda ni FULLmtanzania, hapo ona uso wake unavyotoa mngaro na mwangaza, Hiyo ni dalili za MUumini safi na msimamo mmoja. " no unafiki "
Nyuso zao na vipaji vyao ndivyo vinaongoza......!! acheni majungu yenu, Kwani kuna kesi ngapi zipo mahakamani mbona hamusemi...
Uhuni wenu na mauuaji na uonevu wa kila la leo mbona hamuhojii? polisi huUa bila hatia MBONA HAMUHOJII?
SAS MUACHIENI HURU free ponda free ponda..... PONDA ANADAI HAKI YAKE
KAMA RAIA YEYOTE. HURU PONDA.
MWENYEZI MUNGU YUPO NA WEWE PONDA.
 
Ponda sio Mtz, ni mkongo, ndugu zake wengi wako congo na Burundi. kuna wengi wamesema kuwa ni mrundi, lakini ukweli ni kwamba, huyu asili yake ni kongo na ndiko alikokuwa amekimbilia baada ya vurugu alizosababisha mwembechai kipindi kile, kwani angebaki hapa, mkapa asingemwacha. huyu sio mtz, uliza mtu yeyote wa usalama atakwambia. tatizo ni kwamba, waislam wengi wamempenda na wanamsapoti, isingekuwa hiyo, angeshakamatwa na kupandishwa ndege, akama sio lory hadi kongo au burundi.

Mkuu Hapo kwenye nyekundu unamaanisha Serikali ya awamu ya nne ni dhaifu au?
 
La ajabu kuwa hadi sasa hamuijui historia ya Tanganyika mama:- Wagogo tu, ndiyo wenyeji humu

lakini makabila yote ni yakufikia, huo ukweli umefichwa na wana siasa.
km: kuna waliyoletwa na kuna wliyopita njia kutafuta malisho na kuna wiliyo hamia wote tulikutana hapa ndani ya tanganyika.... jamani ULIZENI wagogo!! au tujilinganishe ?
msikimbie ukweli.
 
View attachment 90616

Wewe vipi siyo wakwetu labuda wewe ndiyo sii wetu... wewe mbaguzi!!

Mimi nimtaalamu wa mambo ya Race na huyu jamaa kila nikimuangalia haonyeshi kama ni Mtanzania, anafanana sana na watu wa maeneo ya Afrika ya Magharibi mpaka Afrika ya kati! Watanzania huwa hatuna Mijuso mipana kama huyo jamaa, ukitaka kuthibitisha hilo siku ukimwona Mtu anaUso au sura Pana muulize vizuri, asili yake siyo kwetu TZ!

Huyo shk.ponda ni mtanganyika asili, pengine wewe unajificha nyuma usijulikana kuwa ni mkimbizi. mbona kuna wahalifu
na wavunjaji sheria kibao huja subutu kuwa anika hapa? shekhe ponda ataachiwa huru na Uhuru wake
utaongozwa na maanadamano makubwa. wewe acha fitina zako mnafiki.
 
Laa Ajabu; eti kuandamana na kulilia haki yako..? unakuwa siyo mtanzania ? jamaani kwani waTANZANIA tumepigwa mihuri

au chapa usoni ya kuthibitisha uzalendo wetu. Shehe ponda hapo alipo yupo mapumzikoni yaani likizo akirudi uraiani tutamuuliza
kama anauasili gani? ili tuwasuteeee!!
 
Back
Top Bottom