Anaweza kuwa wa Mpitimbi huyu...tehtehtehteh...wa Mpitimbi mpo????....Naukumbuka ule wimbo sijui ni Profesa J yule msichana ametoka kijijini alikuwa anaweka viatu kwenye friji...tehtehteh....(jamani hiyo ya Mpitimbi is just a joke from me)
Mura acha utani na mwita potiHuyo mkurya