Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Ana nyota ya mende
Ana nyota ya mende
Miss Chagga. Nategemea kuoa Mchagga lakini natishwa balaa kuwa cha moto nitakiona. Ajabu ni kwamba marafiki zangu wote wameoa Wachagga na wako poa sana kiuchumi na vinginevyo. Sasa hivi vitisho nivichukulie siriazi ama? Mara sijui Wapalestina, mara hivi ali mradi maneno miiingi...Msukumaa
Mchaga ndiyo mpango mzima .. hakunna ukweli we jua kuishi nae tu usiwe mbabe wakati Huna pesa.pesa ndiyo heshima. Pesa ndiyo uwanaumeMiss Chagga. Nategemea kuoa Mchagga lakini natishwa balaa kuwa cha moto nitakiona. Ajabu ni kwamba marafiki zangu wote wameoa Wachagga na wako poa sana kiuchumi na vinginevyo. Sasa hivi vitisho nivichukulie siriazi ama? Mara sijui Wapalestina, mara hivi ali mradi maneno miiingi...
Mabinti wa Kisukuma bado wamezubaa na mpaka umpate ni kazi kweli kweli. Mi nshashindwa aisee...
Si bilionea bali pesa ya kawaida ipo ya kutosha na kusema kweli atapata karibu cho chote atakacho ali mradi tu awe na upendo wa dhati. Ngoja nichacharike basi...ha ha ha...Mchaga ndiyo mpango mzima .. hakunna ukweli we jua kuishi nae tu usiwe mbabe wakati Huna pesa.pesa ndiyo heshima. Pesa ndiyo uwanaume
Jiandae kuacha mjaneSi bilionea bali pesa ya kawaida ipo ya kutosha na kusema kweli atapata karibu cho chote atakacho ali mradi tu awe na upendo wa dhati. Ngoja nichacharike basi...ha ha ha...
Ina maana ikitokea pesa zikaisha ndo hivyo tena na uanaume wangu ndo unakoma au inakuwaje sasa? Falsafa ya kuabudu pesa kupita kiasi hii inatisha kidogo ati!
Pesa ikiisha kuna mawili akawepo ila asikuheahimu hasa kama anakupa mishe za pesa unaogopa hapo hata kuheshimu .. au anaweza kusepa akakuacha teh .. we kuwa mtafutaji wa pesa yani utaishi kwa rahaSi bilionea bali pesa ya kawaida ipo ya kutosha na kusema kweli atapata karibu cho chote atakacho ali mradi tu awe na upendo wa dhati. Ngoja nichacharike basi...ha ha ha...
Ina maana ikitokea pesa zikaisha ndo hivyo tena na uanaume wangu ndo unakoma au inakuwaje sasa? Falsafa ya kuabudu pesa kupita kiasi hii inatisha kidogo ati!
Mkuu vipi tena. Ina maana nitadedishwa? Mbona marafiki zangu wapo tu wanadunda? Au wanaliwa timing watoto wakue?Jiandae kuacha mjane
Kama ni hivi aisee hali inatisha. Wachagga na pesa, pesa na Wachagga!Pesa ikiisha kuna mawili akawepo ila asikuheahimu hasa kama anakupa mishe za pesa unaogopa hapo hata kuheshimu .. au anaweza kusepa akakuacha teh .. we kuwa mtafutaji wa pesa yani utaishi kwa raha
Wanawapa gap waache vitegauchumi vyamaana fanya uchunguz idad yawajane hapa mjin kisha leta mrejesho hapaMkuu vipi tena. Ina maana nitadedishwa? Mbona marafiki zangu wapo tu wanadunda? Au wanaliwa timing watoto wakue?
Njaa hatutakiKama ni hivi aisee hali inatisha. Wachagga na pesa, pesa na Wachagga!
Ni kweli ila ukitaka kujua anapaa gusa yai lake haswaa ujaribu kukimbia nalo hapo ni sawa na umesogelea Ikulu pale Zanzibar au Magogoni hata kwa ushindi wa kura.si ndege wote wanauwezo wa kupaa, yapo Ostrich ndege asieweza kupaa.
Kwa chama chetu cha mafisi huwa haijalisha sheria inasemaje.,kwani Jecha alitumia sheria gani?nitajaribu endapo sheria za uhifadhi zitaruhusu kugusa yai la mmoja wa ndege hao.
ya jecha mwachie jecha hayo sie hayatuhusu kwa sasa, japo tunanyooshwa kweli kweli.Kwa chama chetu cha mafisi huwa haijalisha sheria inasemaje.,kwani Jecha alitumia sheria gani?