Huyu si mtu ni mapupu

Huyu si mtu ni mapupu

Duuuu! Hongera mkuu.Wataalam wa fasihi hapa tunasema mwandishi amefanikiwa kufikisha ujumbe kwa hadhira aliyokusudia
 
Dah! Mi naondoka na neno Nguvu za Giza zipo...hayo mengine nawaachia wengine... iri mradi nashushia na Supu ya mapupu.

Alivyojitutumua ktk hiyo picha..utadhani kifutu...

Baba Askofu kashindwa kula/kunywa supu ya mapupu....kapigwa na butwaa mpaka mpishi kamuomba msamaha.

Hatari sana

Ngojakisirisiri

Pupu halina radha lkn linapita fresh mdomoni.
 
Samahani sana mshana kiukweli Mimi nakosa la kufikiri kila nikiwaza.kila nikimtafutia kosa huyu bashite nalikosa.mimi nadhani tunapaswa tujue ukweli kwamba bashite Ni kijana fulani mwenye madharau Hilo sikatai lakini ana misimamo na uthubutu ambao umekosekana kwa Viongozi wengi.dharau,kejeli,sifa,sio sababu za Kum disqualify
Sijui anafeli wapi kwa upande wenu maana Kama Ni kwa kauli za kukera Mimi siwezi Kum judge mtu kwa maneno ambayo ameyatamka ndani ya nusu saa katika LUNINGA wakati ana masaa mengi nje ya camera ambayo wengi hatuyajui.maisha yake halis pamoja na kazi zake..Sasa at least ningeweza kuona mabaya yake(maovu) ndipo ningeweza kwenda sawa na nyie.samahani mshana hili ndilo niliwazalo.
Unaipenda sana CCM eeeeeeh!
 
Lungs. Ulishaona bucha inauza lungs? Utumbo tunaugombania lakini mapupu mara nyingi wanapelekewa mbwa. Ila huchanganya na utumbo kuongeza idadi hasa sehemu wanakouza mataputapu. Joke.
Badili ID wanakuletea mapupu sasa hivi. Utayala na mataputapu, shauri yako.
 
Uchawi upo... Ushirikina upo... Nguvu za giza zipo... Unaweza ukaamini au usiamini lakini huo ndio uhalisia
Huwezi ukaenda bucha la nyama na kuyakuta mapupu yametundikwa kama nyama nyingine... Sana sana utaona vile vya ndani kama utumbo, maini, bandama nk
Si kwamba mapupu hayapo... La hasha... Si kwamba yana thamani kuliko nyama.. La hasha... Yanapendwa tu na class yake... Nyama iliyonona, nzuri na inayovutia kabisa inaweza kulala lakini sio mapupu...

Mapupu huwezi kuyakuta kila mahali, sehemu zile class, ama middle life class.... Mapupu hayana bei na walaji wake hawana bei pia... Hakuna supu ya mapupu inayozidi buku 3 hata kama itiwe viungo vyote... Hakuna...!!!!
Kuna uchawi kwenye mapupu, kuna ushirikina.. Kuna nguvu za giza.... Huyu rc si mtu bali ni pupu.... Yaani Mapupu ile nyama isiyofika buchani... Ana kaliba yake.... Misukule inayompenda na kumwamini sana... Haisikii... Haiambiliki... Kuhusu hili pupu...!!!!
Kinachonitatiza na kunishangaza sana ni ile dhana dhanifu kuwa hata mzee baba... The man himself ni mlevi na mpendwa kabisa wa supu ya mapupu.... Hii habari inatisha kama hujui undani wake...
Kwa wasiojua ni kwamba.... Ni laini kama supu ya mapupu huyo mwana... Na kilicho laini hutamanisha kuliwa..... View attachment 1095291View attachment 1095292
Mshana Jr siyo mapupu bwana site tunaitaga maini, yani mshua akidondoka nayo home, ukiulizwa leo home kuna mboga gani tunajibu maini 😁😁😁

Haya mambo kuyajua unaitaji elimu ya mtaani tena uswazi kabisa yani uko ambako sufuria la ugari linategwa jikoni mboga hamuioni ile Dada anaanza kupika ugari unashangaa bi mkubwa kabeba bakuri kubwa anaingia kirabuni cha pombe ya kienyeji anaendq kununua maini (mapupu) tena ya mia tano unakuja nayo home anakuta ugari upo tayali, unawekwa pembeni linachukuliwa sufuria jingine yanawnza kuugwa mapupu tena nyanya zenyewe ni masalo zile nyanya zilizorainika sana ambazo zinaelekea kuharibika ukienda sokoni za shilingi mia kama umenunua za shiringi elfu moja hiyo hizo basi pupu linaugwa pale, linapigwa na pilili kwa mbali na katangawizi yani ndani ya dakika kuni na tano mnaitwa nyie njooni mle basi mnakula hapo safi mnashiba zenu safii bila shida ndio maana leo mnaona tunadunda tu hakuna kutumia Congo dust wala super shafti😁😁😁

Mamii john lazima ayapende maana kwenye jamii yao uko ukienda kwenye vibanda vya mama lishe hiyo ndio supu alafu bei yake sawa na bure kwaiyo atakuwa amekuwa anatumia tangu mdogo kazoea
 
amepiga vita Shisha, Ngada, mliotelekeza watoto, mliotapeli Ardhi nk nk mlioguswa lazima mtoke povuuuuu
 
Back
Top Bottom