Huyu si mtu ni mapupu

Huyu si mtu ni mapupu

Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
 
Natamani kuandika jambo hapa brazaa! Ila niwaambie tu ndugu zangu

Uchawi upo!

Uchawi upo na unafanya kazi, usiyeamini sikulazimishi
 
Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
Chuki zimezidi kwa huyu jamaa hadi sometimes nakaa namuombea bila shaka ni mafanikio aliyofikia na umri wake wakijiangalia wanazeeka hata ujumbe wa mtaa hawana inawauma.
 
Tupilia mbali dhana yako kwenye post hizo picha zako zimenikumbusha enzi nimeanza maisha uswahilin tandika.Huko ndiko nilikutana na supu za mapupu na koromeo na makongoro.Yan umenikumbusha mbali sanaa mkuu.Kwasasa situmii hayo mavitu
umepanda daraja... Sijawahi kuona kiporo cha no 11 au cheni bloku
 
Kaka Mshana shikamoo
Uchawi upo... Ushirikina upo... Nguvu za giza zipo... Unaweza ukaamini au usiamini lakini huo ndio uhalisia
Huwezi ukaenda bucha la nyama na kuyakuta mapupu yametundikwa kama nyama nyingine... Sana sana utaona vile vya ndani kama utumbo, maini, bandama nk
Si kwamba mapupu hayapo... La hasha... Si kwamba yana thamani kuliko nyama.. La hasha... Yanapendwa tu na class yake... Nyama iliyonona, nzuri na inayovutia kabisa inaweza kulala lakini sio mapupu...

Mapupu huwezi kuyakuta kila mahali, sehemu zile class, ama middle life class.... Mapupu hayana bei na walaji wake hawana bei pia... Hakuna supu ya mapupu inayozidi buku 3 hata kama itiwe viungo vyote... Hakuna...!!!!
Kuna uchawi kwenye mapupu, kuna ushirikina.. Kuna nguvu za giza.... Huyu rc si mtu bali ni pupu.... Yaani Mapupu ile nyama isiyofika buchani... Ana kaliba yake.... Misukule inayompenda na kumwamini sana... Haisikii... Haiambiliki... Kuhusu hili pupu...!!!!
Kinachonitatiza na kunishangaza sana ni ile dhana dhanifu kuwa hata mzee baba... The man himself ni mlevi na mpendwa kabisa wa supu ya mapupu.... Hii habari inatisha kama hujui undani wake...
Kwa wasiojua ni kwamba.... Ni laini kama supu ya mapupu huyo mwana... Na kilicho laini hutamanisha kuliwa..... View attachment 1095291View attachment 1095292
 
Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
Chuki zimezidi kwa huyu jamaa hadi sometimes nakaa namuombea bila shaka ni mafanikio aliyofikia na umri wake wakijiangalia wanazeeka hata ujumbe wa mtaa hawana inawauma.
Wapumbavu wawili wanapokutana hutengeneza ujuha wa kujifariji kwakuwa fikra zao ni kimo cha mbilikimo na uono wao ni mwisho wa pua zao zilizofutika uvundo... Kuna kujiita GT na kuwa GT.... Ni dhana mbili tofauti kabisa
 
Hivi bro, kujitoa ufahamu ni kutumia akili pia ?
 
Back
Top Bottom