Huyu si mtu ni mapupu

Huyu si mtu ni mapupu

Namfahamu kuwa anayezungumziwa hapa. Shida yangu kubwa siyo siasa zake. Shida yangu kubwa ni pale anapojinasibu kuwa no mtu imani ya upande wangu, tena wakati mwingine akitamani madhabahu na kijiita mchungaji lakini anayoyafanya hayaendani.

Hakuna mtu aliyegusa maisha ya watu negatively kama mama wa kikokotoo lakini simchukii koz najua ni mwanasiasa kama wengine tu na huwa hajigambi kwa dini au imani yake. Sasa nikiona mtu anajigamba kwa imani yake kisha anamgomea kiongozi mkuu au wa juu ktk hiyo imani akitaka nafasi sawa ktk madhabahu huwa na mdharau....

Kwa imani hiyo hiyo anayajinasibu nayo inasema mtu akionywa mara nyingi na akishupaza shingo atavunjika na asipate dawa.
 
Mshana Jr siyo mapupu bwana site tunaitaga maini, yani mshua akidondoka nayo home, ukiulizwa leo home kuna mboga gani tunajibu maini

Haya mambo kuyajua unaitaji elimu ya mtaani tena uswazi kabisa yani uko ambako sufuria la ugari linategwa jikoni mboga hamuioni ile Dada anaanza kupika ugari unashangaa bi mkubwa kabeba bakuri kubwa anaingia kirabuni cha pombe ya kienyeji anaendq kununua maini (mapupu) tena ya mia tano unakuja nayo home anakuta ugari upo tayali, unawekwa pembeni linachukuliwa sufuria jingine yanawnza kuugwa mapupu tena nyanya zenyewe ni masalo zile nyanya zilizorainika sana ambazo zinaelekea kuharibika ukienda sokoni za shilingi mia kama umenunua za shiringi elfu moja hiyo hizo basi pupu linaugwa pale, linapigwa na pilili kwa mbali na katangawizi yani ndani ya dakika kuni na tano mnaitwa nyie njooni mle basi mnakula hapo safi mnashiba zenu safii bila shida ndio maana leo mnaona tunadunda tu hakuna kutumia Congo dust wala super shafti

Mamii john lazima ayapende maana kwenye jamii yao uko ukienda kwenye vibanda vya mama lishe hiyo ndio supu alafu bei yake sawa na bure kwaiyo atakuwa amekuwa anatumia tangu mdogo kazoea
Namfahamu kuwa anayezungumziwa hapa. Shida yangu kubwa siyo siasa zake. Shida yangu kubwa ni pale anapojinasibu kuwa no mtu imani ya upande wangu, tena wakati mwingine akitamani madhabahu na kijiita mchungaji lakini anayoyafanya hayaendani.

Hakuna mtu aliyegusa maisha ya watu negatively kama mama wa kikokotoo lakini simchukii koz najua ni mwanasiasa kama wengine tu na huwa hajigambi kwa dini au imani yake. Sasa nikiona mtu anajigamba kwa imani yake kisha anamgomea kiongozi mkuu au wa juu ktk hiyo imani akitaka nafasi sawa ktk madhabahu huwa na mdharau....

Kwa imani hiyo hiyo anayajinasibu nayo inasema mtu akionywa mara nyingi na akishupaza shingo atavunjika na asipate dawa.

Ziraili wa gizani
 
uswahili tabu sana inaelekea hata supu ya korodani ipo 😀 😀 😀
 
Ukiifatilia siasa lazima ujitoe akili unaweza kuongea au kuandika chochote hata kama huna ushahidi.
 
Back
Top Bottom