Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

Ujinga kivipi? Fafanua..

Sisi UKAWA tunafanya kampeni ya uchaguzi kwa kunadi sera zetu na siyo kufanya matamasha ya burudani kama fisiem sisi UKAWA na fisiem ccm ni vitu viwili tofauti kabisa, viva UKAWA viva LOWASSA ,hapa ni mabadiliko tuu.
 
Acha ushabk km we ci ccm maslah,, wakae pembeni ili wajue umuhm wa wapiga kura , ccm wanafny kimazoea ,, km ni ccm maslah kuwa kmy
 
huna point ww unawataftia fisiem sera,,,hatuendi kwenye mikutano kuangalia wasanii tungeenda club na kwenye show
 
Chadema imeshauzwa...

Ni mwendelezo wa kambi ya mgombea wa CCM, asiye na ugomvi na chama bali uchu wa madaraka...

Chadema mwaka huu haina mgombea, isubiri 2025 labda...
 
Chrisludos hatujaishiwa hela na sio kwamba hatutaki wasanii. lakini wenzako wa CCM wanatufanyia mizengwe, kwani kwanza wamekata umeme licha ya sisi kulipia matangazo live ITV. Mkutano ule utarudiwa ITV siku itakayopangwa. lakini kwa wasanii ni kwamba wanatishwa kufungiwa na kuzuiwa kazi zao kusikika kwenye media. sasa sisi hatuna nia ya kuwaharibia watu. tunataka mabadiliko na tunaenda kuyapata oktoba 25. Nakushauri jiandae kisaikolojia kwa mabadiliko
Lowassa ambaye wengi wetu tulimtaka ahamie UKAWA, si huyu ambaye tunamshuhudia.

Kutaka kunielewa zaidi, hebu jaribu kukumbuka mkutano wake wakati wa kutangaza nia pale Arusha na ufananishe na mkutano wake wa leo Arusha.

Mkutano ule wa kwanza, ulionyesha kujiandaa.. Wasanii walijaa, vyombo karibu vyote vya habari vilikuwa live..

Tatizo sasa hivi liko wapi? Hana hela au ameishiwa? Bado sana kujihakikishia ushindi, tunahitaji kuongeza nguvu ktk media, na pia kama inawezekana kuweka wasanii pia si vibaya kwani lengo ni kumpata kila mtu.

Hebu pata picha mikutano ya UKAWA inavyojaa leo bila wasanii wakubwa, je wangekuwepo ingekuwaje? Wengine watabisha kwa hoja dhaifu ya kujitofautisha na CCM, bila kusahau lengo letu kubwa ni kuingia madarakani ndo maana tukamfanya Lowassa kuwa mgombea wetu.

Muda bado ungalipo, tubadilike.
 
Lowassa ambaye wengi wetu tulimtaka ahamie UKAWA, si huyu ambaye tunamshuhudia.

Kutaka kunielewa zaidi, hebu jaribu kukumbuka mkutano wake wakati wa kutangaza nia pale Arusha na ufananishe na mkutano wake wa leo Arusha.

Mkutano ule wa kwanza, ulionyesha kujiandaa.. Wasanii walijaa, vyombo karibu vyote vya habari vilikuwa live..

Tatizo sasa hivi liko wapi? Hana hela au ameishiwa? Bado sana kujihakikishia ushindi, tunahitaji kuongeza nguvu ktk media, na pia kama inawezekana kuweka wasanii pia si vibaya kwani lengo ni kumpata kila mtu.

Hebu pata picha mikutano ya UKAWA inavyojaa leo bila wasanii wakubwa, je wangekuwepo ingekuwaje? Wengine watabisha kwa hoja dhaifu ya kujitofautisha na CCM, bila kusahau lengo letu kubwa ni kuingia madarakani ndo maana tukamfanya Lowassa kuwa mgombea wetu.

Muda bado ungalipo, tubadilike.

Lowassa hafai kuwa rais wa Tanzania, hafaiiiii
 
Nafurahi kama utampigia kura, vipi na wale ambao bado hawajafanya maamuzi? Tunawapataje?

Kama hajawahi kula nje ya nyumba ya mama yako,unaweza ukadhani mama yako ndio mpishi bora kuliko wote duniani.Ngoja usafiri upate mapishi ya ladha tofauti.Ndipo utakapojua kuna wapishi bora kuliko mama yako.CCM imeishiwa sera,zilizopo hazijawahi kutuletea tija.Chagua ladha tofauti kupitia CHADEMA.Chagua LOWASSA.
 
Tutampigia kura, ila pia tunahitaji kampeni zifanywe kisasa zaidi.

Kampeni za kisasa ndio za kupiga push ups,kucheza rhumba,kuporomosha matusi na kuongea lugha gongana?FUTUHI wanapaswa wamsajili JPM.Mimi namchagua LOWASSA!!
 
Magufuli hawezi kuwa rais,usipoteze kura yako na kupigwa na jua tumchague lowassa huyu ndo chaguo mungu

Penye fisadi hakuna Mungu. Chagua mbunge na Diwani wa chadema tufanye mabadiliko. Ccm wachague rais wao tumkimbize. Mgombea wa Ukawa ni maafa.
 
Mmeanza kuzinduka eh..

Na wamechelewa sana.
Watu tumetukanwa sana kwa kuwashauri mambo yaliyo wazi, eti sasa hivi wanaanza kudai wamehujumiwa.

Eti mleta mada anadai huyu sie Lowassa tuliyemtaka, utadhani wakati analetwa aliulizwa au alikuwa na mchango wowote. Wanachama hawakuwa na mjadala. Jamaa alitambulishwa na kupewa kugombea full stop. Walipinga wote ni 'wasaliti' na tunajua wameishia wapi.
Unagundua wamepigwa weed wiki 2 kabla.

Yaliyotokea Arusha ni aibu. Kwanza Magufuli kupata umati wa hadi kuning'inia ghorofani.
Kisha mkutano wa Lowassa siku 2 baadaye kudorora ni ishara mbaya.
1. Mkutano huo ulizidiwa mbali na ule wa Lowassa kutangaza nia hapo hapo Arusha akiwa ccm.
2. Mkutano wa jana umezidiwa kwa mbali na ule wa kumtambulisha Lowassa kama mgombea Urais wa Chadema.

Chati imeshuka, afu imeshukia kiwanja cha nyumbani na ngome kuu ya Chadema.
Go figure
 
Jamani mleta mada hamjamwelewa.Huyu siye Kabisa na nia yake ni kuondoa watu kwenye hoja.Kuna jinsi ya kuleta hoja Kama nia nzuri ya kuboresha lakini huyu siye.Pamoja na Kuwa kuna Umuhimu wa kuongeza matanngazo bado UKAWA inafanya vizuri kwa kuvutia watu bila kuwasomba kwa magari.Cha kufanya sasa ni kuchangia mocha go ya campaign kujpitia simu yako. UKAWA watoe maelekezo namna ya kuchangia.Wenzenu CCM wana funds nyingi toka kwa wafanya biashara wakubwa na matajiri .pia kuna baadhi ya TV Kama star TV na radio zinawatangazia Kila kitu.Hata hiyo inayoitwa ya taifa inatangaza ya CCM tu labda Kidogo na ACT.inabidi UKAWA fanya mbinu Kama ya Obama yeye alichangisha $5 ,$10 kutoka kwa watu wakawaida wengi alipata funds nyingi kuliko mpizani wake aliyechangiwa na matajiri na wafanya biashara.Tatizo hata namna ya kuchangia watu hatuijui Jana tu nilisikia tangazo kwenye radio lakini ile speed ya mtangazaji hata Mtu hawezi kuandika namba.Watu wengi wanaweza kuchangia wakihamasishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom