Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,687
Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini.
Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea uwezo wa kuwamudu wanawake na kujua jinsi gani ya kudili nao.
Hivyo katika hizo harakati zote nilipo taka kuoa nikaachana na wasomi wenzangu wote kwani nilijua hakuna kitu tutafanya ...hivyo nikajirudia kwa house girl wa mchungaji mmmoja mkubwa sana dar.
Kiufupi huyu mwanamke amenipa ulimwengu wake wato hivyo macho na akili zake zipo kwangu Nami sijawahi kumuangusha katika hilo hadi nikamzawadia ndoa na kumuheshimisha dada wa watu. Na kunizaliza watoto wawili wazuri wenye tabia njema na akili sana. Siwezi sema nampenda sana huyu mke wangu hapana ila nafurahishwa nae sana na ameniaminisha kuwa kizazi changu kipo mikono salama.
Hivyo basi huyu mke wa binamu yangu ni wao wote wamesoma na ngazi za elimu yao ni degree hivyo maisha yao wanayaendesha kidigree degree.
Kiufupi ndoa yao imejawa na migogoro mingi sana na kesi za kijingakijinga wanasuruhishwa kila siku.
Sasa katika ngazi ya ukoo ikaonekana katika vijana tulio oa ndoa yangu ndio imetulia haina mambo mengi naona hichi kitu mke wa binamu yangu kilikua kinamuuma sana.
Na huyu binamu yangu yeye hakubahatika kuinjoy maisha maana maisha yake mengi ametumikia seminary hivyo ana udomo zege sana na ni mzembe kwa wanawake ni mzaifu kwa wanawake.
Hivyo basi huyu shemeji yangu akajenga ukaribu mkumbwa sana na mke wangu kwa kuwa ni ndugu sikuona tatizo ila matatizo yalianza kuja baaadae naona tabia za mke wangu zinaanza kubarika na ameanza kuwa mvivu kaheshima kangu kana pungua sijakaa sawa mke wangu akawa na mahitaji makubwa ya hela zisizo na mpango hapa bado sikuchukua hatua ila ilipo fika kwenue majibu ya kijeuri jeuri hapa nikajua hapa sasa mke sina nilijiuliza maswali mengi sana amekuaje .....? Nini kimemkuta ......? Au alikua ananiigizia miaka yote hii saizi ndio tabia yake asili inachipuka.
Kumbuka wakati wote huo sijawahi kumuuliza wala kulalamika yote hii nilikua nataka kujua kwanza shida ipo wapi maana ningeanza kuleta malalamoko au kufoka ningeharibu mambo. Ila yeye alijua vyenyewe nipo kimya basi nakubaliana na hayo mabadiliko.
Nikaanza utafiti wangu nikaja kugundua anamawasiano makubwa sana na mke wa binamu yangu yaani ukiingia kwenye calls unakuta asilimia 96 ya maongezi kafanya na huyo mke wa cuzo.
Kiufupi huyu mke wa binamu ni pure feminist na kaweza kumu manipulate mke wangu kama alivyo fanya kwa binamu yangu hadi ndugu tunamuonea huruma ila ndio hivyo wanaheshimu ndoa na watoto ila ingekua uchumba ndugu wangeingilia kati. Kiufupi aliweza kuishika akili ya wife kwa asilimia 80 na kuniachia 20.
Kiungwana siku nikampigia huyo mke wa binamu yangu na kutaka kumuuliza huwa wanaongea nn na mke mwenzie maana naona wanaongea sana na mke wangu tangu wawe karibu amebarika sana akacheeka sana na kusema hapana shem mm huyo huwa tunasalimiana tu na umbea wa hapa na pale nikamjibu sawa haina shida.
Nikamuuliza mke vipi mama watoto mbona kama siku hizi sikuelewi umebadiraka sana akasema mambo yamebarika si ulizoea kuniendesha wanawake sikuizi tunaongoza dunia nilitaka nimlambe Kofi nikakumbuka huyu hana hatia kudili nae nitakua napoteza muda ngoja nidili na kichwa mke wa binamu.
Basi nikaunda mpango mkakati nichezeje hii muvi na mimi sipendi watu wajue mambo yangu mara nyingi huwa nayasovu kimya kimya sana.
Basi nikakumbuka kuna mwanamke ambeye nilikua nacheza nae huko nyuma ngoja nimtumie huyo cos bado anaita japo ni middle 30s nikampanga mpango mzima kuwa namuunganisha na ninamu yangu na huyu bina ameoa ila ni mpweke na hainjoy mapenzi kifupi sio mtundu sana hivyo nakutegemea nikiwaunganisha hauwezi kuniangusha .
Kwa kuwa ni kazi nikampa kibunda cha kuanzia nikandaa mazingira ya kuwakutanisha. Siku ikafika nilikua na binamu yangu maeneo basi binti alikuja kama mgeni pale tukasalimiana na kujifanya hatuja onana siku nyingi na kumkalibosha kwenye meza yetu uzuri alikua na rafiki yake kando wakasogea na kuanza kula na kunywa stori mbili tatu basi nikatengeneza mazingira ya kuwa karibu sana na rafiki take ili wapate muda wa kuwa karibu na binamu yangu.
Nashukuru hili zoezi tulifaulu vizuri ba bila binamu yangu kujua kama hii ishu imesetitiwa.
Basi siku isio na jina nikakuta huyu mwanamke kanitumia picha wapo vacation na binamu na kuniambia hata hela iliyo baki haitaki kwani anavyo vipata ni zaidi kifupi yeye ndio inatakiwa anilipe mimi nilichoka sana na nilicheka sana hii siku.
Basi ndio hivyo mimi ndio nikawa namdai yeye kumbe watu penzi limekolea hatari ......Ila mapenzi ya kifala sana .
Basi siku nakutana na binamu yangu nakuta hiyo siku anafuraha sana huku akijaribu kunidodo juu ya yule rafiki yangu yule mwanamke nilijuana nae vipi na vipi kama nimewahi kumla nk .....na mm kwa kujifanya sielewi nikawa namuuliza kwani vipi mzee amekufanyia nn akawa anajibu huku anachekacheka na mwishowe kunifungukia kuwa yule mwanamke anahisi ndio alikua mwanamke wa ndoto zake maana ametokea kuvutiwa nae sana nikamjibu hapo ni wewe tu mimi sishauligi mapenzi kaka wewe kama unaona mtu anakufurahisha kwa nini ujizuie kama inalipa paa nayo tu kaka hii dunia tunaishi mara moja.
Kiufupi huyu mwanamke ni mwanamke anae ihitaji sana ndoa maana yupo single muda mrefu sana nae hataki kumuachia ndio maana hata hela zangu alirudisha.
Haya saizi kibao kimegeuka kesi zimeanza kwa shemeji yangu kulaumu kuwa mmewe ambee ni binamu yangu siku hizi haambiliki na hamjali kabisa yaani anamuona kama takataka na anakiburi sana binamu yangu
Kiufupi kesi ni nyingi sana na najifanya sijui kinacho endelea nawa enjoy tu na kumkebehi shemeji kwa kumuita mwanamke nangai unakwama wapi mbona lawama kila siku kama ndoa imeisha si muachane tu msije kuuana bure.
Kiufupi huyu shem ndio ameijua tjamani ya binamu yangu saaa wakati huo binamu hana hata muda nae na anarudi nyumbani kwa ajiri ta watoto maana amesha pata faraja sehem nyingine.
Kupitia hiyo misukosuko nikamtishia wife nikamuambia unaona anacho pitia mwenzio basi nikiamua nitakupitisha kwenye machungu zaidi ya hilo na hakuna kitu utanifanya. Hivyo heshimu ndoa yako na Linda ndoa yako hayo ya nje yatakuponza......Mungu mkubwa wife Kawa mpole hataki hata kuwasiliana na mke wa binamu yangu.
NB
.........wanawake msipende kubeba ujinga wa nje na kuuleta kwenye familia za wanaume walio amua kutulia ......namaanisha mwanaume alie amua kutulia sio ambaye hana option maana huyu akiamua akupitishe kwenye bonde la uvuli wa mauti nakuapia hakuna rangi utaacha kuona.....heshimuni ndoa zanu na za watu wengine