Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

Umelishughulikia kiume sana. Safi sana.

Ila Ajuza Mungu amlaani yani leo hii tunasoma JF kwa VPN kama vile ni ngono.

Maxence Melo ushauri tu mkuu, kwa vile washa i blacklist JF yetu kuwa haina maadili, unaonaje ukalirudisha jukwaa letu pendwa la Wakubwa ili tukose maadili kabisa🤣🤣.
 
Katika kipindi hiki cha uchaguzi wa mwenyekiti wa CHAWATA (Chama cha wanaume Tanzania ) sikutegemea kukutana na mgombea kama huyu .nikiwa kama mzee kikwete na mm nampitisha huyu bwana kuwa mgombea pekee na fomu nitatoa moja tu ya huyu kiongozi wetu mtarajiwa.venue ya uapisho: ukumbi wa karimjee
Kuwa makini sana madumuzi. dumuzi haaminiki sana
 
Ila hii inatujuza jinsi wanawake wasivyotakiana mema bila wao kujua,mwanamke hapendi kuona mwanamke mwenzake anafurahia maisha,hivyo lazima ataingiza ushawishi tu mwenzake aharibikiwe

Kwahiyo wanawake muwe makini sana,una jamaa yako anakupenda kwa dhati,mnavyopenda kushare mambo yenu,unamwambia mwenzako kwa nia nzuri tu,mwenzio anakuonea wivu anakutia ndimu na pilipili unakolea kwa kukuambia bwana wako hakupi hela nyingi achana nae,nawe ulivyo mjinga unakubaliana nae

Siku zote jisimamie pale unapoona unastahili kufanya hivyo

Kuhusu mtoa mada nitaongea na wajumbe wakufikirie kwenye kikao kijacho cha wanaume unastahili kutambuliwa na kupewa heshima yako
 
Back
Top Bottom