1. Sio waarabu wote ni waislamu mfano Tariq Aziz wa Iraq alikuwa mgalatia
2. karibu asilimia 80 ya walebanon ni wagalatia
3. Kanzu sio usheikh ni vazi tu la kitamaduni za kiarabu na mashariki ya mbali.
Tuamke Africans tukiambiwa kuwa akili zetu ni kucheza ngoma kufikiri ni kudogo huwa tunahisi tumesifiwa tafadhalini wafrica wezangu tumepewa akili ili tuweze kuzitumia Bavaria Wit Non-alcoholic Wheat Beer (0.0%) - 24 x 330ml bottles
<table width="100%" align="center" border="0" cellpadding="4" cellspacing="0"> <tbody><tr class="cell2"> <td colspan="2"> Brewer's Description:
"Bavaria non-alcoholic beer is the only beer that has 0.0% alcohol. Even so, its taste can be compared to a Pilsener and it has all the characteristics of a good refreshing beer. No other non-alcoholic beer compares to the taste of Bavaria non-alcoholic beer."
1. Sio waarabu wote ni waislamu mfano Tariq Aziz wa Iraq alikuwa mgalatia
2. karibu asilimia 80 ya walebanon ni wagalatia
3. Kanzu sio usheikh ni vazi tu la kitamaduni za kiarabu na mashariki ya mbali.
Shehe mbona wahamaki? Vazi alilovaa huyu ndugu ni la kiislamu hasa huko kichwani kwake. Waarabu Wakristo huvaa suti mfano wa huyo Tariq Aziz uliyemtaja.
Sheikh wa Mazingira suti sio vazi la Waarabu, ni vazi lililorithiwa kutoka kwa Wazungu kama ilivyo kwa Waafrika.
Waarabu wakristo pia huwa wanavaa kanzu na hivyo vilemba havimaanishi dini bali ni utamaduni wao. Hapo miaka ya awali ilikuwa katika kusaidia kupunguza makali ya jua, kuzuia upepo mkali
Tuamke Africans tukiambiwa kuwa akili zetu ni kucheza ngoma kufikiri ni kudogo huwa tunahisi tumesifiwa tafadhalini wafrica wezangu tumepewa akili ili tuweze kuzitumia Bavaria Wit Non-alcoholic Wheat Beer (0.0%) - 24 x 330ml bottles
<table width="100%" align="center" border="0" cellpadding="4" cellspacing="0"> <tbody><tr class="cell2"> <td colspan="2"> Brewer's Description:
"Bavaria non-alcoholic beer is the only beer that has 0.0% alcohol. Even so, its taste can be compared to a Pilsener and it has all the characteristics of a good refreshing beer. No other non-alcoholic beer compares to the taste of Bavaria non-alcoholic beer."
Hapo ndipo niliposema wafrica tuzitumie akili zetu katika kufikiri hizi Bavariani mfano tu wa miongoni mwa beer zinazotowa zisizo kuwa na alkoholi na ndo maana hata mujuzi unawakuta wanakunywa beer lakini haina alkoholi kwani nao dini yao haiwaruhusu ,sasa ukimuona mtu amekamata chupa kama hiyo utasema nini ? (VINGARAVYO SI DHAHABU TU SHABA PIA HUHILIBU)
Picha imepigwa jana kwenye kumtafuta miss reds..na ipo kwenye michuzijr aka jiachie ila ilikuwa balaa vinguo walivyovaa ma miss unaweza kufungulia kwa macho yote matatu!!
:confused2::confused2::confused2: ukiona umetingwa na kiu na uko sehemu ambayo hamna hata kibanda ama nyumba, basi jitulize na kilichojirani nawe,
heheheeeeeeee heeeee naamu kiti moto a.k.a mbuzi katoliki a.k.a hassan ni haramu kwenu, lakini mkiona njaa basi tumieni kidogo kwa kuziokoa nafsi zenu na mauti ya njaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.