Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Wakuu, nimeona Rais wa Mozambique Filipe Nyussi anaongea Kiswahili fasaha kabisa je kuna anayefahamu vizuri historia ya huyu mwamba ni mwenzetu au alisoma hapa Bongo?
Mmakua huyo, sio mmakonde. Huyo ni kabila moja na Hayati B.W MkapaKaishi na kusoma Tunduru enzi za kupigania uhuru.
Pia ni mmakonde wa Msumbiji.
Ndio amesoma chuo cha diplomasia na pia amekaa tanzania zaidi ya miaka 10Wakuu, nimeona Rais wa Mozambique Filipe Nyussi anaongea Kiswahili fasaha kabisa je kuna anayefahamu vizuri historia ya huyu mwamba ni mwenzetu au alisoma hapa Bongo?
View attachment 1732361
Unashangaa mmakonde kuongea kiswahili kwa nn usishangae Mu7 kuongea??Nyussi anaongea kiswahili balaa nilimsikiliza pia wakati wa mkutano wa SADC hapa bongo alitema kiswahili hadi nikashangaa.
unaposikia TANZANIA NA MSUMBIJI NI NDG , hivi ndio viashiiria vyake. UHURU WA NCHI YA MSUMBIJI. ulipatikana kutokana na juhudi za chama cha FRELIMO kupiga kambi yake TANZANIA KAMA KITUO KIKUU CHA HARAKATI ZAKE , WALIKUWA NA KAMBI KUUBWA P[ALE MOROGORO ENEO LA Mazimbu, na kwa Dsm pale kilipo chuo cha Deplomesia ndipo ilipokuwa kambi yao. wamekaa muda mreefu saana tangu harakati hadi kupatikana uhuru , wameoa na kuolewa hapa. na hata baada ya kupata uhuru waliambiwa wanaotaka warudi, na kwao wasiotayari wabaki tu Tanzania. haya ndio majibu kwa mujibu wa ufahamu wangu juu ya swali lako.Wakuu, nimeona Rais wa Mozambique Filipe Nyussi anaongea Kiswahili fasaha kabisa je kuna anayefahamu vizuri historia ya huyu mwamba ni mwenzetu au alisoma hapa Bongo?