kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,445
- 2,348
Kuna interview Louis alisema yeye sio mmakonde but kwa kua jina linarepresent mozambique culture na ndy ashapewa basi hana jinsi.Huku Tanzania Wamakonde ni wengi na Wamakua wachache ndio maana kila anayetoka Kusini ni Mmakonde kumbe Kuna Wamakua,Wayao,Wamwela,Wagindo n.k huwa inafanana na wanotoka Musoma kuwa Wakurya wote au Mbeya kuwa Wanyakyusa au Ruvuma kuwa Wangoni.Ingawa wengine ni inferior tu na kujibadilisha ila Mmakua ukitaka kumvuruga muite Mmakonde hataki kabisa nashangaa yule Louis wa Simba wanamuita Konde boy kisa katoka Msumbiji Basi ni Mmakonde.