Huyu Rais wa Msumbiji ni Mmakonde mwenzetu au aliishi Bongo?

Msumbiji wanakipenda kiswahili upo mwaka nilipita huko barabarani karibu polisi wao wengi wanaongea kiswahili na wanakuomba hela ya chai kwa kiswahili ni mara chache wakigundua mtanzania wasikuombe hela ya chai ukiwa unaendesha unarudi zako bongo ila hiyo njia ni ndefu balaa ukifika huko mtwara umefika daslm ila kuimaliza msumbiji daah ni kiboko...korosho ya elfu moja ya kitanzania upande wa msumbiji wanakupa sado nzima iliyokaangwa kuna korosho nyingi sana msumbiji ni vile tumewekewa mazingira magumu eti bidhaa zisivuke mipaka bongo mna visa sana sasa hivi wamepata soko SA...
 
Wakuu, nimeona Rais wa Mozambique Filipe Nyussi anaongea Kiswahili fasaha kabisa je kuna anayefahamu vizuri historia ya huyu mwamba ni mwenzetu au alisoma hapa Bongo?

Watu wa msumbiji ni wamakua .Watu wa mindu tunduru masasi mtwara wengi wao walitoka msumbiji .Mfano mkubwa sana wa wasumbiji wakawa wamakua ni late rais Mkapa .wanaitwa Mandinga .
 
KONDE BOY
Nyie Wakonde akili zenu mbovu.Wamakua wote mnalazimisha wawe Wamakonde Mpaka Mkapa mlikuwa mnamuita Mmakonde.Nyusi,Chisano na Mkapa sio Wamakonde.Msumbiji asilimia kubwa ni wamakua wamakonde sio wengi kuwazidi wamakua.Nyie ndugu yenu yule anavua shati na kutembea Tumbo wazi na limama la Kisukuma.
 
Hapo mwisho umemaliza kitabe sana..eti "limama la kisukuma"
 
Nyie Wakonde akili zenu mbovu.Wamakua wote mnalazimisha wawe Wamakonde Mpaka Mkapa mlikuwa mnamuita Mmakonde.Nyusi,Chisano na Mkapa sio Wamakonde.Msumbiji asilimia kubwa ni wamakua wamakonde sio wengi kuwazidi wamakua.Nyie ndugu yenu yule anavua shati na kutembea Tumbo wazi na limama la Kisukuma.
Hapo ni kweli , wamakonde wengi wao ni waislamu ambapo msumbiji ni wachache , hivi kwann kuna kuwa na Tabia Kama hiyo ?
 
Ni Mmakonde kwa kabila, kama tunavyojua wamakonde wapo hata ng'ambo ya mpaka, ameishi TZ akisoma Tunduru masomo ya msingi kabla ya kurudi kwao Msumbiji kuendelea na Masomo
 
Wewe umejuaje Kama ni mmakonde ?
He was born in Namau in Mueda District, Cabo Delgado Province, belonging to the Makonde ethnic group. Both his parents were veterans of the liberation movement, Frelimo. At the start of the Mozambican War of Independence, he was taken across the Ruvuma River to neighboring Tanzania, where he was educated at Frelimo Primary School in Tunduru. He pursued his secondary education at the Frelimo school at Mariri in Cabo Delgado and at Samora Machel Secondary School in Beira.[26]

In 1973, aged 14, he joined Frelimo and received political and military training at Nachingwea in Tanzania. Source Wikipedia
 
Hapo ni kweli , wamakonde wengi wao ni waislamu ambapo msumbiji ni wachache , hivi kwann kuna kuwa na Tabia Kama hiyo ?
Huku Tanzania Wamakonde ni wengi na Wamakua wachache ndio maana kila anayetoka Kusini ni Mmakonde kumbe Kuna Wamakua,Wayao,Wamwela,Wagindo n.k huwa inafanana na wanotoka Musoma kuwa Wakurya wote au Mbeya kuwa Wanyakyusa au Ruvuma kuwa Wangoni.Ingawa wengine ni inferior tu na kujibadilisha ila Mmakua ukitaka kumvuruga muite Mmakonde hataki kabisa nashangaa yule Louis wa Simba wanamuita Konde boy kisa katoka Msumbiji Basi ni Mmakonde.
 
Back
Top Bottom