MUAROBAINI ULIOKOMAA
Member
- May 4, 2013
- 91
- 25
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Wakati wa kampeni alikuwa anaomba "kula"/(kura) sasa kama mlimpa kula na sasa ameshiba ni lazima awatolee "upepo" ili mzibe pua zenu.Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Hujawahi kupata mtoto msomi ndiyo tatizo lako. Ukaona watoto walivyobaguliwa na hata huo uzalendo utatoka wapi ?!Ndio,Na Nitafia Tanzania!
Kuna Uhusiano Gani Kati ya Komenti Yangu na CCM?
sina buku 7haaaNilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Stay away from this.....kuna vipaumbele tumeona kavifanya muda ambao sio!!!Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Maisha yalikuwa bora kweli.Wewe umemuona huyu tu tuanze na yule wa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA vipi?
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Mkuuu una 7m,maana hii nayo itaitwa uchochezi.tusio weza kuimba sifa kwa kila jambo sijui tutaishije[emoji1] [emoji1] [emoji1]Naona ameanza kurudi nyuma kwenye teuzi, aliwahi nena mtu akiharibu huku anahamishwa huku,sasa wa kuwateua wameisha ameanza na yeye kuwabasilishia majukumu
Acha uwongo.Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .