Kweli kabisa mkuuTasnia ya siasa inataka fitna na majungu kama uziwezi bora usipoteze muda wako.
Si umeona huyo mshindi mwenyewe wa jimbo Priscus Tarimo, kwa miezi miwili mfululiko ilikuwa aipiti week bila ya kuanzishiwa mada hafai na za kujibu hafai.
Hakuna mafanikio ya kuibuka tu kwenye jimbo na kushinda katika siasa, si umeona ata Kimei na Phd yake watu wamepiga chini.
Kushindwa uchaguzi sio dhambiHuko jimbo la moshi mjini kwenye kura za maoni,kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Bila rushwa na ushirikina mbele ya CCM hupati kituHuko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Hana uzoefu kwenye siasa.Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Hajajidhalilisha , kaonyesha ukomavu wa kudiriki kuyaoga maji na kupima kina cha mto wa kisiasa.Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
Hayo ni mawazo ya vichwa visivyo na upeo.Bila rushwa na ushirikina mbele ya CCM hupati kitu
Alishakunyima ndio unakuja na Mishiti yako, wivu tuHuko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe.
Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?