Huyu Pogba wetu ni hasara tu

kauli yako imehitimisha huyu pogba hafai kwa kusema
JAAAAPO TUMMPE MIAKA MIWILI

inaonekana.ni kweli pogba ni garasa ila tumvumilie
 
kauli yako imehitimisha huyu pogba hafai kwa kusema
JAAAAPO TUMMPE MIAKA MIWILI

inaonekana.ni kweli pogba ni garasa ila tumvumilie
.....
.....wewe utasababisha tushuke daraja
 
Reactions: PNC
Jf ya miaka hyo inarudi..
Nmevutiwa na uandishi huu na jins ujumbe ulivyowasilishwa .. [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 

Kwanini apewe miaka miwili wakati ana uzoefu wa ligi? Angekua ni chipukizi tungekuelewa. Lakini uyu alikua kwenye kikosi bora cha FIFA cha msimu uliopita na kacheza mechi nyingi sana za kwenye ligi.
 
mmh...kwan POGBA ni fowad au mido?? napita tuuuu
 
Yani nikaja speed nikijua umemsema vibaya pogba wetu wa man u!!!
 
Tatizo Luis van gaal yeye alikua kocha a kafanya usajili halafua akaacha timu bila kocha pogba kaja anataka awe kocha mchezaji wakati hana hizo sifa ,alisajiliwa ili afundishwe acheze na timu pinzani apate uzoefu yeye hataki anapanga Man U A na Man U B timu haiwezi ligi kila ilifungwa pogba anacheka mana japo yeye c kocha,ikipata sare anafurahi pia mana yeye kachezea timu yake,ndio kocha mchezaji huyo
 

`bonge la fowadi` Pogba sio fowadi,,, nenda kwa Edo kumwembe akufundishe uchambuzi
 
2020 timu itashuka daraja ,mashabiki na wenye hisa zetu tutafilisika,hata jezi hatutauza za mchezaji wetu wa dunia,mm nataka kujua alimsajili ni nani???
Alikuja ghafla tu baada ya nyota aliyekuwa anatakiwa kufanyiwa vitimbwi na kuhamia timu pinzani, hata waliomsajili hawakuwa na imani na haina yake ya uchezaji, ila ndio ikawa haina jinsi wakasema atajifunzia mchezoni.......sasa anaigharimu timu mpk jezi haziuziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…