Huyu pembeni ya Gaucho ni mchezaji gani?

Huyu pembeni ya Gaucho ni mchezaji gani?

Daah watu mko vizur sana, binafsi nimemshuhufia sana Ramires akikipiga pale Chelsea ila kwahiyo picha sikuwaza kabisa
 
Ebhanaaeee kumbe kweli ni Ramires Santos do Nascimento

Jamaa kabadilika sanaa
images.jpeg-51.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom