Ndiye.Nawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira.
Watumishi waliambia sitaongeza mshahara wala kupanda daraja,
Tulilazimishwa kupiga makofi na vigelegele kwa jambo zuri au baya.
Wanasiasa wa upinzani waliota joto la jiwe.
Katika yote hayo mtendaji mkuu master akijiita mtetezi wa wanyonge, wakati wanyonge wakilala njaa na kuambiwa maneno kuwa barabara zinajengwa,ndege kununuliwa vitu vyote hivyo vinawahusu.
Mungu hana kamati akafanya maamuzi,magumu sana.
Awamu ya 6 ikaja na maneno mapya kabisa ya kutia moyo.
1. Sitaki kodi ya dhuluma
2. Vyombo vya habari vifunguliwe
3. Sitaki uongozi wa kunyanyasa watu isipokuwa haki itendeke.
4. Wafanyabiashara na wawekezaji watengenezewe mazingira rafiki.
5. Mahusiano mema na nchi jilani na jumuiya ya kimataifa.
NAENDELEA KUJIULIZA KATIKA YOTE HAYA JE
Huyu ndiyo tuliyemtarajia mkombozi wetu au tuendelee kusubiri!!!
Ben Saanane amekufa mkuu?Na yule jambazi aliyemuua Ben Saanane unamuhifadhi?
Unauza njugu barabarani wewe, hata kodi hujui ni nin
Kule ndani mmewabakiza wangapi?Aliwekwa lock up miezi kama 6, baadaye akaambiwa hawana hana wala kesi naye aondoke tu.
Halafu unataka flyover ujengewe na ukauze njugu kule. Tazama Ubungo Stand ilivyo gulio la machinga!Karibu nawe uuze njugu hutodaiwa kodi zaid ya kitambulisho
umemuua lini?Zaidi ya miaka 3 hujuw mtu yuko wap, bado una matumaini tu ya uhai wake?
Tena sanaTuendelee kuomba Mungu aendelee kutupa faraja
Mungu azidi kukuinua mkuu ,kuanzia leo lolote kwako lifunguliwe asema bwana , muhite hata mtume sawa , but mungu kakupa kibali ,thanks na barikiwaNawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira.
Watumishi waliambia sitaongeza mshahara wala kupanda daraja,
Tulilazimishwa kupiga makofi na vigelegele kwa jambo zuri au baya.
Wanasiasa wa upinzani waliota joto la jiwe.
Katika yote hayo mtendaji mkuu master akijiita mtetezi wa wanyonge, wakati wanyonge wakilala njaa na kuambiwa maneno kuwa barabara zinajengwa,ndege kununuliwa vitu vyote hivyo vinawahusu.
Mungu hana kamati akafanya maamuzi,magumu sana.
Awamu ya 6 ikaja na maneno mapya kabisa ya kutia moyo.
1. Sitaki kodi ya dhuluma
2. Vyombo vya habari vifunguliwe
3. Sitaki uongozi wa kunyanyasa watu isipokuwa haki itendeke.
4. Wafanyabiashara na wawekezaji watengenezewe mazingira rafiki.
5. Mahusiano mema na nchi jilani na jumuiya ya kimataifa.
NAENDELEA KUJIULIZA KATIKA YOTE HAYA JE
Huyu ndiyo tuliyemtarajia mkombozi wetu au tuendelee kusubiri!!!
Post inarushwa kwenye group inayomhusu ,,unajisikia kabisa kukosoa jambo lakini unakumbuka admin ametishiwa na sheria na polisi ,,hilo jambo unabaki nalo moyoni. Haya hayakuwa maisha bali utumwa.Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Zawadi au laana?Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Kuna pahala tuliomkosea mungu akaamua kutuletea laana kwa ujio wa hyu mtu, bt baada ya mateso kuzidi na watu wakajirudi kwa kuomba toba na msamaha kwa mungu akasikia na kutuondolea hii laana. Hallelujah, hallelujah ameeeeeeeeen.Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania.
Kwa ufahamu wangu mdogo najua Kuna mengi yamejificha tusiyoyajua lakini muda utakavyozidi kwenda tutayajua na ndio sasa tutajua kuwa ilikuwa baraka au laana lakini kwa Sasa tuwe na staha tusimalize maneno tusije kesho tukaitwa kigeugeuKuna pahala tuliomkosea mungu akaamua kutuletea laana kwa ujio wa hyu mtu, bt baada ya mateso kuzidi na watu wakajirudi kwa kuomba toba na msamaha kwa mungu akasikia na kutuondolea hii laana. Hallelujah, hallelujah ameeeeeeeeen.
Muda utasema ukweli mkuuKwa ufahamu wangu mdogo najua Kuna mengi yamejificha tusiyoyajua lakini muda utakavyozidi kwenda tutayajua na ndio sasa tutajua kuwa ilikuwa baraka au laana lakini kwa Sasa tuwe na staha tusimalize maneno tusije kesho tukaitwa kigeugeu
kwa kweli binafsi naona ni mapema mno!
Ila...
Ombi langu ni kuwa mazingira yawe rafiki lakini kila pande itambue wajibu wake! Unaweza kwenda kwa mtu na sura rafiki alafu akauona lofa. Kwani miaka ya nyuma ni kama watu walijisahau wengine waliamini kuwa kiongozi kama JPM hatowahi kutokea katika nchi hii matokeo yake mambo yakawa ndivyo sivyo!
Bado mapema ila nina imani asipoingiliwa na watu, huenda akawa ndiye!