Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Me nakuelewa vizuri kabisa......!Yeah mimi ni mbishi tu ila siyo mbabe huwa sikubali kushindwa kama nikijua kuwa mimi ndiyo niko right ila kama niko wrong huwa sihangaiki kubisha nakuwa mpole tu
Haha sisi ndo wanyaki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Me nakuelewa vizuri kabisa......!
Wanaume sio wavumilivu, kitu kidogo anabadilika balaa, hilo swala mwambie, mtu asieshukuru sio mzuri.
Afu hayuko romantic kbsa yan ukipeleka kiss anaona kma kitu cha ajabu mno anaeza kukupush
[emoji3]Yan ni hatar inabidi wwe ndo ujibebisheNajua tabu ya kuish na demu ambaye sio romantic wacha kabsa hapana kwa kwel mi mwenyew namuacha
Demu anakuwa kma mwanaume mwenzako bana
Nlimuuliza akadai hapanaHajakeketwa kweli?
Inakua ngumu sana kujua kama ananipenda au lah maana haoneshi ishara zozote za kitofautTuanzie hapa anakupenda? Kama anakupenda amini usiamini huyu ndio mke sasa....mke haandaliwi kwa wiki 2 mkuu tenga ata miaka 5
If you seek good advice, consult this lady #MadameS.Kama ushaona ni asili yake bas ona hayo ni kama mapungufu yake uyazoee huwez pata mtu perfect labda umuumbe mwenyewe.
If you seek good advice, consult this lady #MadameS.
How have you been my humble friend? Na umepoteamo sana!
Aisee jamaa demu wako kafanan na wangu kwa kila kitu hata wangu ana tabia hzo pia na pia yeye pia anaongoza kwa kura za maoniHabari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali
Duhh hata wangu mzeee mpk nikaona may nanuka mdomo ninYan unaeza peleka mdomo kumkiss akaona kama unataka kumfanya cjui nn[emoji3]
Aisee hata mie naambiwa nalalamika sana nikioji jambo loloteWatu tunatofautiana sana wa kwangu mimi anasema nalalamika sana hapo ni baada ya kumtafuta
Tabu mnoooNajua tabu ya kuish na demu ambaye sio romantic wacha kabsa hapana kwa kwel mi mwenyew namuacha
Demu anakuwa kma mwanaume mwenzako bana