Hilo boneti likijifunga je?akili nyingine bana!!
We nawe kujitoa fahamu tu la nyuma hilo :smile-big::smile-big:hilo boot au trunk boneti la mbele kwenye engine
kumbe kuna trunk na boneti mi najua yote boneti tofauti ni la mbele na la nyuma ha ha ha!!yaani sijui hii trunk ikibana ...
Nimtaje?