Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,183
Nmeikuta mahali kuhusu huyu mnyama.
Ni mnyama anafanana na Kobe lakn anatoa sauti kama binadamu anayelia.
Inasemekana anapatikana Africa na America pia inasemekana anashinda sana makaburini akila mizoga ya binadamu.
Inasemekana kwamba akiwa anakula nyama za binadamu makaburini akihisi binadamu anakuja anaanza kutoa sauti ya kilio kama cha binadamu na binadamu akisikia sauti kama hyo makaburini anakimbia na hivyo kumwachia yeye mwanya Wa kuendelea kula mzoga bila wasiwasi wowote..
Naomba wale wajuvi Wa mambo kama Mshana Jr tuelezee vzr