Huyu ni Mgeni wa Nani?

Huyu ni Mgeni wa Nani?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
Waziri mkuu wa Denmark yupo nchini kwa ziara. Hivi ni mgeni wa CCM au wa Serikali?

IMG_8155.JPG
 
Viherehere kama kawaida yao,kila kitu wao hudhani ni siasa mbaya zaidi hawana uwezo wa kutofautisha shughuli za siasa na shughuli za Serikali.
 
wananchi wengine hawana nguo za mtoko zaidi ya hizo za ccm walizopewa tangu uchaguzi mpaka leo hiyo ndio mwisho wa sanduku ya kwenda kumpokea mthungu
 
Wazee wa ubinafishaji,wamebinafisha vitu vyote, sasa hadi wageni wakifika wanabinafishwa?loll!

nikawaida ya ccm sijui kwanini huwa wanashindwa kuiga hata nchi za jirani kama kenya!
 
Njaa iishie tumboni, ikipanda kichwani ni hatari sana.

Source: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hao walianzia mbali, tokea misiba ya masupa staa sasa wameanza kuteka na Ugeni wa kitaifa unakua wao. Tusije kushangaa wakiteka na harusi zote mijini na vijijini ili kujitafutia Legacy waliyoipotezakwa nguvu.
 
Mgeni anaondoka akiwa na taswira kichwani kwamba Tanzania ni nchi iliyojaa vikongwe tu maana ndiyo hudanganywa kwenda kupokea wageni maana vijana werevu siku hizi.
 
Back
Top Bottom