Huyu ni mdudu gani?

Mbona hata wanasema binadamu jinsia ya "M' wana vichwa viwili? Sina uhakika hahahahaha
 
Sasa aki paralaizi si ndiyo itakuwa poa zaidi maana hakuna mtu Ana taka kuchukuwa mwanamke mwenye matatizo..
Sasa utakulaje uroda na kupalalaizi ujue kidude kinajikunja kinakuwa kikavu kama kava la parachichi lililokauka ukichoneka unakwanguliwa
 
Duh!!!!
Hizi imani zinatupa shida kweli. Unakiomba msamaha kiumbe ambacho hukifahamu?
Natamani nikione na one day nitafanya ziara Tabora


Tabora ni kuzuri ila Imani za kishirikina zinarudisha nyuma ule mkoa, yaani ni kama Kigoma tu. Kwao kila kitu lazima ushirikina ushirikishwe.
 
Kweli mkuu, Tabora kuna vichaa wengi sijapata kuona! Nahisi hata kwa ombaomba pia wanaongoza


Nafikiri kwa ombaomba, wanakimbizana na Dar, Dodoma. Mwezi wa pili mwaka huu nilikuwa Dodoma. Nilishuhudia tukio/maajabu ya mwaka, niliona vijana wanapigana barabarani na kuchomana visu eti wanagombania barabara ya kukaa na kuomba watu hela. Yaani mtu anahamka asubuhi, akishakunywa tu chai yake, anawahi barabara na kuiita yake kwa ile siku ili akusanye kodi.
 
Bora bana viroba vimepigwa marufuku.
Hapa natafta miwani ya macho au darubini kukitafuta kichwa cha pili lkn sikioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…