Huyu ni mbunge wa chama gani?

Huyu ni mbunge wa chama gani?

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.
 
Na kuna mwingine aanatamka hadharani kuwa alipotaka kuoa alikutana na mwanamke hana mvuto.akamwambia " labda huyo mwanamke amtolee mahali lakini ndipo angeweza muoa"
Ninawasiwasi na hawa watu tulio watuma mjengoni.
Huyu ndiye muwakilishi wa watu wote anaanza kutoa maneno ya kashfa kwa watu.
 
Huyo kwa jina mpinzani kimatendo ni CCM B
 
huyu ni mbunge wa chadema...ila ieleweke chadema ni chama ni taasisi ambayo utendaji wake lazima utenganishwe na mwanachama mmojammoja....hili ni funzo kwa upinzani si kukurupuka na kupokea watu wliotumikia CCM maisha yao yote na kukimilia upinzania baada ya kutoswa na vyama vyao.....
 
Na kuna mwingine aanatamka hadharani kuwa alipotaka kuoa alikutana na mwanamke hana mvuto.akamwambia " labda huyo mwanamke amtolee mahali lakini ndipo angeweza muoa"
Ninawasiwasi na hawa watu tulio watuma mjengoni.
Huyu ndiye muwakilishi wa watu wote anaanza kutoa maneno ya kashfa kwa watu.

Huyu ni mbunge wa kutangatanga asiye na msimamo na ndiyo maana anaropoka tu. Watu kama hawa ni hatari sana na hili liwe fundisho kwa CDM siku za usoni kwamba sio kupokea tu watu wanaohamia kutoka vyama vingine hasa CCM. Huyu ni pandikizi la CCM na aliyoyatamka ametumwa na mabwana zake. Haiingii akilini wakati wenzake wanawaonea watanzania wenzao huruma kwa kuchukua malipo mara mbili kwa kazi moja jambo ambalo limewekwa wazi halafu yeye anakuwa kinyume na wenzake na kuungana na mafisadi. Pumba tupu pumba tupu. Hawa wabunge wa CCM tunajua hawana jipya na katika kitu kinachoitwa fedha huwezi kuwabadili kwa sababu ndipo akili zao zilipo. Tegemeo letu sasa linabaki kwa hawa wapinzani hasa hawa wanaojaribu kuikwamua nchi hii lakini kuna wrong people ambao wameingia kwenye upinzani lakini kwa kazi maalum na huyu ni mmoja wao. Wako wengi hata hivyo sio huyo tu. Wako akina AM, JC, na wengineo. Ila nawahurumia hawa wa chama kingine hiki!!! hizi ndoa hizi jamani chungeni sana kufunga ndoa haraka haraka. Mnaona sasa matokeo yake??? Kwiiiiiisha wamebakia pumba pumba pumba tu
 
Unamaanisha Shibuda John!!!!!! Mbunge wa Maswa
 
Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.

Huyo ni John Shibuda, Mbunge wa CCM ON LOAN TO CHADEMA! Full Gambaa!
 
Huyu ni mbunge wa kutangatanga asiye na msimamo na ndiyo maana anaropoka tu. Watu kama hawa ni hatari sana na hili liwe fundisho kwa CDM siku za usoni kwamba sio kupokea tu watu wanaohamia kutoka vyama vingine hasa CCM. Huyu ni pandikizi la CCM na aliyoyatamka ametumwa na mabwana zake. Haiingii akilini wakati wenzake wanawaonea watanzania wenzao huruma kwa kuchukua malipo mara mbili kwa kazi moja jambo ambalo limewekwa wazi halafu yeye anakuwa kinyume na wenzake na kuungana na mafisadi. Pumba tupu pumba tupu. Hawa wabunge wa CCM tunajua hawana jipya na katika kitu kinachoitwa fedha huwezi kuwabadili kwa sababu ndipo akili zao zilipo. Tegemeo letu sasa linabaki kwa hawa wapinzani hasa hawa wanaojaribu kuikwamua nchi hii lakini kuna wrong people ambao wameingia kwenye upinzani lakini kwa kazi maalum na huyu ni mmoja wao. Wako wengi hata hivyo sio huyo tu. Wako akina AM, JC, na wengineo. Ila nawahurumia hawa wa chama kingine hiki!!! hizi ndoa hizi jamani chungeni sana kufunga ndoa haraka haraka. Mnaona sasa matokeo yake??? Kwiiiiiisha wamebakia pumba pumba pumba tu

Hivi CDM wakiamua kumfukuza kuna shida gani? Najua hawezi hata kurudi alikotoka na huo utakuwa ndio mwisho wake!
 
mfukuzeni fasta arudi zake kwenye chama cha magamba,asituharibie mipango yetu,na si huyo tu na wote wenye kigeugeu kama cha kwake,kama ni kuganga njaa aende akaungane na magamba wenzake,tunataka watu shupavu sio waoga kama shibuda. Chadema ina
wabunge wengi tu ila wanaosikika ni wachache mfano,ZITTO,MBOWE,MDEE,MNYIKA,LEMA,MSIGWA ,LISSU,mi naona kama vile
wengine wapowapo,kama j selasini wa rombo kimya kabisa sijawahi kumsikia au mnamuogopa yule spika mama na sura yake mbaya?
 
Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.

Huyu ni Mbunge wa Maswa Magharibi kwa Ticket ya CHADEMA, anaitwa JOHN SHIBUDA.
Hii ndiyo Chadema.
 
Nasikia wakati wa kampeni alikuwa anachanganya salam. Badala ya kusema peoples powerrrr!!, alikuwa mara nyingi anasema, kidumu chama cha mapinduziiiii.....!!
 
Back
Top Bottom