Huyu ni mbunge wa chama gani?

Chadema hapa walikurupuka kumpokea huyu ni parasite amepandikizwa ndani ya chadema

Uko sawa kabisa! Tangu alipohamia CDM mimi nilikuwa sina imani naye.....kwanza si mtu mahiri kama WanaCDM....ni mropokaji na mchekeshaji tu.
 
Na kuna mwingine aanatamka hadharani kuwa alipotaka kuoa alikutana na mwanamke hana mvuto.akamwambia " labda huyo mwanamke amtolee mahali lakini ndipo angeweza muoa"
Ninawasiwasi na hawa watu tulio watuma mjengoni.
Huyu ndiye muwakilishi wa watu wote anaanza kutoa maneno ya kashfa kwa watu.

Mbona sijakuelewa mkuu? nadhani tatizo unawaza kilugha ahalafu unaandika kiswahili.
 
CDM-JF, mbona mnakuwa wabaguzi? Humu kuna kambi ya Mbowe, kuna kambi ya a loser Dr Slaa, kuna kambi ya Lema, sijaona kambi ya John Shibuda, kila anachokisema mnampinga tu wakati kachangie CDM kupata Ruzuku, ebu achane kumnyanyapaa kama mtoto yatima au kasababu ajatoka Kaskazini
 
Mi napata hasira sana ndo maana mara nyingi huwa nasema maneno machache sana!Sipendi watu wa aina hii!
 
huyu jamaa kisiasa ndio anaelekea qibla, ameingia choo cha israel!
 
CDM-JF, mbona mnakuwa wabaguzi? Humu kuna kambi ya Mbowe, kuna kambi ya a loser Dr Slaa, kuna kambi ya Lema, sijaona kambi ya John Shibuda, kila anachokisema mnampinga tu wakati kachangie CDM kupata Ruzuku, ebu achane kumnyanyapaa kama mtoto yatima au kasababu ajatoka Kaskazini

Hana mvuto na hata kamabi yake ya akina MS imemtema
 
Najua huyu anatafutwa na cdm siku atakapoingia kwenye mtego vizuri hapo ndo mwisho wake. Naakumbuke waliomchagua ni wasukuma ambao hawataki kusikia habari za magamba sijui ataenda wapi. Huko wanamagamba hata sale zao huvalia kwenye kikao na sio hadharani.

Mimi naamini akitemwa na CDM hataweza kurejea na hili analijua na yuko makini hapo ila ipo siku atatelezea mojakwamoja shimoni.
 
Ataenda CUF maana anajidai eti kakulia Zanzzibar
 
Back
Top Bottom