ni kweli nifafana nae... Mr Rocky m'baya...yaani mshana jr ameiba wapi hii picha yangu nilivyokuwa mgonjwa....
General8 wajua huyu mshana jr muhuni wakati tupo hospital kaka nae alikuwa mgonjwa...kabanga tena, duu
yaani unayachokoza ili kinipande tena ....Hahahahaaaa hahaaaa hahaaaaaa ngoja nimtafute hata kwa pm asiporusha ngumi sijui?
CC: kabanga
nimekuja hasira nimemalizia kwa watu wajiji walikuja kuvuta gari yangu parking kisa eti nilishusha mtu sehemu sio stahili....
ah... nimeupata wajua miss chagga ananipenda alipita kimya hapa kaja mbio kuniuliza, ikabidi ni mwambie ukweli wangu...
jamaa wameniumbua hawa....
nimekusikia Mr Rocky....
Khantwe hawa watu wabaya, hapa nilipo naogopwa je hivi walivyotoa picha yangu ya zamani si ndio balaa hata mwanao janeth1 ndio atanipitia mbali....
Hajaenda kuungana na wenzake dodoma kwenye bunge la katiba?
wewe tanganyikakwanza wewe una balaa, umenichekesha sana na sentesi yako hii maana ina maana kubwa sana....