Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

Seriously hata mimi nasemaga kuwa manecky ndiye producer aliyekuwa anampatia diamond ndiyo maana wimbo kama ukimuona unaishi.
Pia kjt naye alimtengenezea hit kama mawazo
Yeah nadhani anaweza kuendana na uimbaji wa Diamond pia amtumie hata Abidadi,Sei,Ima the Boy atafanikiwa kwa beat za local.
Nahreel ama Luffa kwa beats international na zinazosikilizika popote.
Ila Laizer anamuharibia reputation aliowekeza muda mwingi na akili kuitengeneza.
 
Kwa hiyo kwa kurusha uzi wako kwenye post ya jukwaa la siasa unataka awe mwanasiasa au!?

Nyimbo kazipiga na video ni bombaaaa.

Inabidi uche wivu wa kutaka aanguke, hata akiacha kuimba ana biashara nyingiii zitamuweka mjini.

Na waimbaji upiga pozi, kwa yeye bado ndio nyota ya taifa analitangaza na tunamuombea azidi kuendelea.
fanya mchakato wa kirikou 2 nakuja kulipa
 
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote
Stupidest post
 
Yeah nadhani anaweza kuendana na uimbaji wa Diamond pia amtumie hata Abidadi,Sei,Ima the Boy atafanikiwa kwa beat za local.
Nahreel ama Luffa kwa beats international na zinazosikilizika popote.
Ila Laizer anamuharibia reputation aliowekeza muda mwingi na akili kuitengeneza.
Kweli hao uliowataja kwa local ndiyo wanamfaa na kwa international hao wengine huyu laizer beat zake ka za beat maker wa geto na fl studio 3
 
Kiukweli shujaa wetu wa mziki wa bongo hajatutendea haki kwenye hizi project. Binafsi bado nina imani naye!
 
Seriously hata mimi nasemaga kuwa manecky ndiye producer aliyekuwa anampatia diamond ndiyo maana wimbo kama ukimuona unaishi.
Pia kjt naye alimtengenezea hit kama mawazo
Hata Tuddy Thomas anampatia sana Mond
 
Ile kasi yake kweli imeshuka kwa haraka. Ajipange upya aje tena.
mashabiki wake tunataka chakula kipya cha masikio saivii tone za nyimbo zake zimeichosha ngome za masikio yetu aongeze ubunifu kidogo
 
Mazishi wapi sasa?..Kigoma au hapa hapa Dar
 
Kwa hiyo kwa kurusha uzi wako kwenye post ya jukwaa la siasa unataka awe mwanasiasa au!?

Nyimbo kazipiga na video ni bombaaaa.

Inabidi uche wivu wa kutaka aanguke, hata akiacha kuimba ana biashara nyingiii zitamuweka mjini.

Na waimbaji upiga pozi, kwa yeye bado ndio nyota ya taifa analitangaza na tunamuombea azidi kuendelea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lbd nimgeni umu jf xaxa dai akiji chimbia kaburi c tufanyaje c tumtungie ngoma au
 
Back
Top Bottom