masijala
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 280
- 425
Hata wasanii wakubwa wa huko nje huwa wanatoa nyimbo za kawaida sometimes, mfano yemi alade, davido, wiz kid, rihanna, beyonce, jason delulo, usher na wengine wengi so diamond nayeye imetokea na i hope atajipanga next time
Niwakumbushe tuu, diamond hata miaka 10 katika muziki tangu atoke hajatimiza so ndo mambo ya kupata uzoefu humo humo, tusikosoe too much
Niwakumbushe tuu, diamond hata miaka 10 katika muziki tangu atoke hajatimiza so ndo mambo ya kupata uzoefu humo humo, tusikosoe too much