Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

...du, ama kweli! Na hivi Saida Kaloli kaamua kurejea na uhalisia wake sijui vya kuigiza vitatuvuta tena.
 
Kawakaribisha ugali sasa vijana wanakomba na Mboga ,Mmakonde na Rich Mavoko wanammaliza
 
Akome si aliliamsha dude, na bado hajapewa mapigo. Gwajima alisema yeyote atakayemkingia kifua Bashite atampiga. Apigweeeeeeeeeeeee...............

Aombe huruma ya Magu si alimpigia kampeni???
 
Huu I miss you mzuri ule fire sijaupenda. Dayamondi abadilishe producer sio sababu producer ni wako basi Ndo kila ngoma lazima afanye yeye, nyimbo zake zinafanana sana vionjo vile vile hayo matarumbeta Ndo kabisa ni bonge ya turn off kwangu.
natamanii angesoma huu ushauri mzuri kabisa
 
Nigga whats your creativity? negative mf talking shit in private social network
Go to diamond page in instagram and tell him direct like a real man. Punk broke niggers judge other people life while going to bed hungry.
Peace
matusi ya nn ndugu yangu una sema na judge diamond life umesoma neno lolote ambalo linagusa maisha yake kama watoto wake ana vaa nn,anakula nn kwa upewo wangu mdogo hayo ndo maisha ya mtu..au sbb una kingereza cha rasi simba bhasi unajiona bright kuliko watu wengine hebu jifunze kuheshimu mawazo ya mtu you smal pig!!!
 
Diamond anatakiawa a change sometimes km akina davido na wizkidayo sio kila siku vigoma vile vile uimbaji ule ule video zile zile by the huu uzi sio mahala pake hapa jombaaa
sisi walajii tunataka ladha mpya ...umeongea point kbx
 
Huu I miss you mzuri ule fire sijaupenda. Dayamondi abadilishe producer sio sababu producer ni wako basi Ndo kila ngoma lazima afanye yeye, nyimbo zake zinafanana sana vionjo vile vile hayo matarumbeta Ndo kabisa ni bonge ya turn off kwangu.
Nilishasema na ntarudia, diamond bila manecky hamna lolote
 
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote
"Thatha" hivi wewe ni me au ke?
 
Nyimbo zote za laizer ni mbovu tu kwangu. Hajui production ya mahadhi tofauti! Ndio tabu ya kumpa mtu kazi eti kwa vile mmetoka kijiji kimoja.
Mara 100 Diamond angempa shavu Nahreel amtolee beats za maana kama amemchoka manecky!
 
Back
Top Bottom