Huyu nesi kaniacha hoi

Kababi, kwa zama hizi za UKIMWI bado ulitaka kujilipua kavukavu?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaa hahaaaa nimecheka sana pima mkuu ukweli utakuweka huru ndugu ila punguza kucheza rafu,ila ukiujua ukweli utakuwa huru zaidi
 
Siku izi UKIMWI unachezewa e?
 

Mi malaya akili zao bwana utazijua tu.
 
nesi katisha mbaya.....nimeipenda stail yake
 
ha ha ha ha KOMESHA KIBOKO YA VICHECHE "DETERMINE" au inaitwa IMMUNOCHROMATOGRAPH
 

Ndivyo walivyo mkuu wanatembea na vipimo vyao kabisa ndivyo vinvyofanya kuwa wagawaji wazuri tu,nilishakua na mmoja akirudi tu kutoka mkoa ananipima na yeye pia kisha kizungu!
 
Aisee nimependa strategy ya huyo nesi!!She is one smart lady!!!

Hajakutana na 'Makomandoo wa mujini'. Hiyo tester inawekwa damu ya ng'ombe tuu, majubu anaonyeshwa negative! Mwenyewe anaachia kitumbua kimegwe!
Chezeya town weye!
 
Du,, haki ya nani kupima si mchezo,,! umetoka nduki,!?
Haya basi jipime mwenyewe taratiiibu, majibu iwe siri yako!
 
kwahiyo yangetoka safi mngedinyana wakati mnatakiwa kurudia tena vipimo baada ya muda ili kujihakiki! nurse hakulifikiria hilo.

Heheh nesi naye alikuwa anataka ale ndizi nyama....
 
mkuu ulichokua unataka nu kitu gani ...umepewa umekimbia tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…