Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,287
- 40,908
MmmhNapenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor
Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.
Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27
Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.
Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.
Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.
Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo
#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.
#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Aha ha haaaa! Pamekucha kweli kweli....tena sana tu[emoji23][emoji1787][emoji1787]...naona pamekucha mkuu...
Pamekucha kwelikweli...
[emoji1787], atakuwa mfupi afu kinenee huyo maana wanawake wafupi ndio wako na swag hzoMleta Mada Kwani We Upoje
Kibonge Sex Au Slim Shady
Mweupe Au Mweusi
Mrefu Au Mfupi
Hapo kwenye umri haupungui kidogo[emoji16][emoji16][emoji848][emoji848][emoji39][emoji39] tufanye 26Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor
Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.
Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27
Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.
Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.
Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.
Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo
#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.
#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Miaka 27 Bibi??Mbona wewe tayari usha anza kua Bibi na bado uja mpata tu uje umpate 27[emoji855]
Kweli kabisa brazaYeah she gotta be careful because there are big difference between real life and the Internet
Hapo jamaa atapata tabu baba watoto atakapokuja kumuona mwanaehujawahi hata kusingiziwa mtoto hahaa, mpk hapo ushaqualify kijana,umri si kitu sana. mfate tu huko mkayajenge. future husband wa mleta uzii
Huyu anataka bots (wanaitaga ngawira sijui) ... Ile mtu imekuwa programmed yani iwe easy to controlSifa zote nakaribia kuwa nazo,kasoro hiyo ya asiwe mnywa pombe,pombe napenda kwani ndio hunipa liwazo.Ila una ujasiri yaani unampangia mwanaume awe na kampani ipi ya marafiki,yaani unataka mtu wa kumcontrol!!
Braza huyu bibie mbona kama namfahamu aisee kwenye real life .... Kuna bibie kabwagana na mumuewe this year.... Jamaa alikuwa na mpunga kinyama... Ila alikuwa anachepuka wakagombana demu kafungua kesi mali wamegawana pasu kwa pasu.... Aiseee ...ni kweli alikuwa na nyumba somewhere in dsm halafu ana bachelor.... Wazee changamkieni changamkieni hii manzi she speak the truthUna 27 umelia 4 yrs means uliolewa with 23 with bachelor na nyumba within such period of time in Tanzania system of education!!
Thanks very much
You are the hero.
Npoo tena sijatoka mikoa flan😍😍😂Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.