Huyu ndo mwanaume naemtaka

Haka ka mchezo hakaitaji hasira ,Hiyo staili ya kata mti panda mti inaitaji utulivu
 
Ungekua huna mtoto, ningejaribu kubet. Siku baba mtoto akifa ni pm, japo Nina miaka 37.
 
Mbona sifa zote ninazo lakini nina 27 una nifikiliaje mkuu?
 
@Madam Hero ,vipi ulikuwa na ndoa na huyo Jamaa au mlianzia ndondo kwanza ?
 
Wivu usizidi kipimo, maisha kusaidiana bana[emoji3], au umechelewa washamuwahi wenzako, siku Nyingine kuwa makini kuangalia nyuzi kama hizi,utakosa mengi kijana
Sina tena haja ya kuhangaika kwenye nyuzi kama hizi kutafuta tafuta. Sana sana labda nije kutoa ushauri tu.

Maana kwako ndio nataka nizime fegi nipandishe tinted kabisa nisione wengine [emoji41]
 
Una 27 umelia 4 yrs means uliolewa with 23 with bachelor na nyumba within such period of time in Tanzania system of education!!
Thanks very much
You are the hero.
 
Aisee...! Hapo kwenye Nyumba au kiwanja nimefeli,

Mfanyabiashara... Hapo pia nimefeli japo nina mpango wa kuacha ajira ili nijiajiri,

Vilivyobaki nmefiti, yaani hapa home nilipopanga naishi kama kivuli
 
Nakila kitu Ila napenda pombe hapo ndo umeniudhi mjingalo we
 
27 n u still single ...doh pole sana
 
Aisee...! Hapo kwenye Nyumba au kiwanja nimefeli,

Mfanyabiashara... Hapo pia nimefeli japo nina mpango wa kuacha ajira ili nijiajiri,

Vilivyobaki nmefiti, yaani hapa home nilipopanga naishi kama kivuli
[emoji23][emoji1787][emoji1787]...naona pamekucha mkuu...
Pamekucha kwelikweli...
 
Mleta Mada Kwani We Upoje
Kibonge Sex Au Slim Shady
Mweupe Au Mweusi
Mrefu Au Mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…