Huyu ndio mtu pekee Rais wa Jamhuri hawezi gusa!

Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
wakuu wa mikoa Atagusa hata wote ila wa dar es salaam hapo ndo break yake jpm
 
Si wanaamka kila uchao na mkakati mpya wa kumvuruga au kumchanganya rais kwa matarajio ya kumtoa relini.
So tusiwashangae sana hawa ni kawaida yao.
Anyway mbona hawaongelei ACACIA tena?
Au ndio mpaka TL apone?

Mkuu hujui kuwa Barbarosa ni CCM kindakindaki au unafanya kusudi?
 
Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Rais wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Rais wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine kote Rais wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki!

Na ukitaka regime change, jaribu kugusa Gavana wa Benki KUU!

Jiulize swali moja, unafikiri Serikali ya Rais Magufuli inapenda matumizi ya Dola kila mahali? Unafikiri wanapenda bureau de change kuzagaa kila mahali?

Unafikiri wanapenda Shilingi yetu ishuke thamani dhidi ya dola?

Unafikiri hawawezi kuzuia na kubadilisha hayo mara moja? Na ni mara ngapi wametuahidi kuondoa dola kwenye mzunguko wetu wa fedha lkn wanashindwa?

Jibu ni hapana, Gavana wa Benki Kuu anawakilisha Washington dc kimaslahi hivvyo hata akistaafu anatefwata ni lzm Washington imuidhinishe, ...
Mkuu umemwombea mabaya Gavana Ndullu. Sasa ametumbuliwa
 
Kwa uelewa wangu na kwa mujibu wa katiba mtu pekee ambaye raisi ni vigumu kumfukuza kazi mpaka ashauria na majaji kama sita hivi wa nchi za madola ni CAG-Mkaguzi na mdhibiti wa mahesabu ya serikali.
Soma ibara ya 143 na 144 kama sijakosea.
Pia judge wa mahakama kuu mkuu.
 
Kwa hiyo na huyu Professa Luoga Magufuli ameenda kuwaomba wazungu ili achukue nafasi na Professa Ndulu ???

Hizi hadithi huwa mnazipata wapi wewe Barbarosa ???
Yaani kwa uchumi gani hadi Raisi aogope kumgusa Gavana wa fedha ???
 
Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Rais wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Rais wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine kote Rais wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki, ...
Uzi wako umekaa kifikla not realistic
 
Back
Top Bottom