chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,112
- 1,494
ila lisu ni mnafiki zaidi yangumnafiki mkubwa wewe mtoa mada...
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.
HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.
Mnafiki lissu mbona alitangazia mataifa yatunyime msaadaAcha kushikashika matapishi dogo! Raisi alishakataa misaada siku nyingi, na hilo lipo wazi!
wewe ndo unae shangilia ujinga wa lisu, heri unge mwambia anapotoka, hacha kuwa mnafiki kama lisuuuuKuandika kwenyewe hujui,je unategemea utaweza kujenga hoja GT wakakuelewa kweli? Huu muda ungetumia kusoma ili ujue kusoma na kuandika ili uje kuteuliwa DC au RC mkuu.
Kuheshimu demokrasia + kuzingatia haki za binadamu = kupewa misaadaMnafiki lissu mbona alitangazia mataifa yatunyime msaada
ndani ya chadema kuna demokrasia? thibitishaKuheshimu demokrasia + kuzingatia haki za binadamu = kupewa misaada
Kukiuka misingi ya demokrasia + kukandamiza haki za bibadamu = kunyimwa misaada
Imebidi nikunyumbulishie kama mtoto wa chekechea labda utaelewa.
Hajafika hata hiyo F4, ni jamii ya kina Bashite.Bila shaka huyu ni form 4 ya kata tena aliyepata zero!Uandishi gani huo hata mtoto wa darasa la 6 angeandika vema kuliko hivi!
mnyika ana cheti, mbowe je, esta bulaya, sugu, prof,j wambie hao watafute vyetiUtakuwa huna cheti mleta mada, rudi shule
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.
HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.
Una kazi baba.weweee, kila anaye shangilia ujinga wa lissu, anashida fulani fulani hivi, aidha anatumia unda, viloba, au hana vyeti