Huyu ndo kicheche

Huyu ndo kicheche

Ahsante kwa taarifa...

Kuna binadamu wanafananishwa na kicheche...
 
Kijana wa dar kalishwa matango pori na yey kaja kutest zari kwa bakhti mbaya mishen feila
 
Hawa watoto wa mjini bwana wanataka kutudanganya .... Huyo ni kicheche wa aina gani ???
 
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606
Si kweli huyu ni squirel, kicheche ni mkubwa zaidi ya huyu.
 
Mleta mada acha uongo.

Kicheche hali kuku na hawezi kula kuku maana ana umbo lililomzidi panya kidogo sana.
Bahati nzuri uliposema anajihami kwa kutoa harufu mbaya ndio nikaelewa ulitaka kumaanisha nini.
Mnyama anaekula kuku na kujihami kwa kutoa harufu mbaya tunamfahamu kule Rombo kwa jina la (kichorang'i).
Huyu ana mbwembwe nyingi maana anaweza kuja na jani la mgomba ili kuku asijue kama ni adui yake... Anatanguliza jani la mgomba lililokauka alafu yeye anakua nyuma kumdaka kuku
 
Kwa hiyo kicheche hakamati kuku??.
 
Huyo sio kicheche mkuu....ni jamii ya panya, kiswahili sanifu wanaitwa komba...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom