Huyu ndo kicheche

Huyu ndo kicheche

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,416
Reaction score
7,928
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dume
FB_IMG_1625856160694.jpg
 
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606
Mjegejo.com
Ila kicheche anafananaje na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
 
Mara 60 kwa saa? Inamaana Kicheche dume hali kiepe yai?

Nani kati ya dume na jike anafanya kazi ya kukamata kuku? Inachukua muda gani kuwinda na kukamata kuku?

Goli moja ni sekunde ngapi?

Asante.
 
Mjegejo.com
Ila kicheche anafananaje na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
Sio kicheche huyo kijijini kwetu wapo kibao hao wanakula matunda na mbegu mbegu kama zambarao na ndizi zilizoiva hawali hata kuku hata hiyo harufu anayosema wanatoa kujilinda na adui sio hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606
Hakuna kijiji kisichokuwa na hawa viumbe.hao sio kicheche umewafananisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606

Hiyo picha umekosea.labda hata kicheche mwenyewe umjui
Huyo anakula vitu kama karanga au aina kama karanga au mbengu.
Hana patikana sana nchi za baridi ulaya,asia,marekani kwa afrika sijajua.
Na yupo karibu na jamii ya watu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom