MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kinana ni kiongozi mfano wa kuigwa!
Mkuu, kwani wewe ukiwa mtoto hukucheza michezo hiyo? Au wewe ni broiller. Ulikuwa unafungiwa tu chumbani na kulishwa.Hapa inaonesha Jinsi ccm wanavyoutumia umaskini wetu watanzania kutuhadaa.............
Je watoto wakinana wanachezea gari /toy la aina hiyo?
Je watoto wa kinana wanatembea pekupeku kiasi hicho
Je watoto wa kinana wanavaa mavazi ya hovyo kiasi hicho? nk
Nani sababu ya mateso na umaskini wa hawa watoto ? nchi tajiri na ikiwa huru miaka 52?
Mkuu, kwani wewe ukiwa mtoto hukucheza michezo hiyo? Au wewe ni broiller. Ulikuwa unafungiwa tu chumbani na kulishwa.
By Balali![]()
![]()
Hapa inaonesha Jinsi ccm wanavyoutumia umaskini wetu watanzania kutuhadaa.............
Je watoto wakinana wanachezea gari /toy la aina hiyo?
Je watoto wa kinana wanatembea pekupeku kiasi hicho
Je watoto wa kinana wanavaa mavazi ya hovyo kiasi hicho? nk
Nani sababu ya mateso na umaskini wa hawa watoto ? nchi tajiri na ikiwa huru miaka 52?
Promo ya kizamani hapo kwenye treni, i think all is needed is to keep yurself bussy eventually the media will promote you according to what you are doing, not like that eeh!
bora huyu ana akili sana!! hadanganyi bali anafanya kweli...
Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
![]()
Hawa ndio wenye nafuu kijiji kizima, na wenye adha ya kupinga picha na katibu mkuu. Angali huyo mtoto mmoja nafikiri maji kwake ni msamihati maana huo mguu.... Hawa ndio mtaji wa CCM.
Lakini anayewazaa watoto hawa? ni ccm au nyie wazazi?
Kamuulize babu Seya...
wapi Rejao?
Si iunganishwe na ile ya utoto raha.Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
![]()