Huyu ndo Katibu Mkuu wa CCM

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,785
2,000
960239_10202781200875748_1811562541_n.jpg

Ipe maneno picha hii
 

duchi

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,766
0
Ni mwanasiasa wa kutosha. Walikuwa wanaitwa makamisaa kule jeshini enzi ya chama kimoja.
 

Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,708
2,000
Angalia picha iliyo kwenye kanga na imewekwa wapi! Siyo bahati mbaya hiyo kijana, watch out!

Wengine huwa wanaweka hiyo picha kule kwingine..kwangu haimaanishi chochote...jibuni swali langu please....
 

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
Promo ya kizamani hapo kwenye treni, i think all is needed is to keep yurself bussy eventually the media will promote you according to what you are doing, not like that eeh!
 

Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao.
Hapa inaonesha Jinsi ccm wanavyoutumia umaskini wetu watanzania kutuhadaa.............

Je watoto wakinana wanachezea gari /toy la aina hiyo?

Je watoto wa kinana wanatembea pekupeku kiasi hicho

Je watoto wa kinana wanavaa mavazi ya hovyo kiasi hicho? nk

Nani sababu ya mateso na umaskini wa hawa watoto ? nchi tajiri na ikiwa huru miaka 52?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom